Salaam
NYUMBA inapatikana Tabata, Kinyerezi
Particulars
Nyumba ina vyumba vitatu vya kulala (master inclusively)
Full tiles, gypsum and aluminium windows
Ina perving blocks na iko ndani ya fensi...
Habari wakuu, Nahitaji nyumba ya haraka sana,
Sifa:
Vyumba Viwili+ Jiko
Isiwe mbali na barabara kuu ya Morogoro road
Iwe inafikika kwa Gari,
Maeneo -Kimara mwisho kurudi hadi Ubungo au Survey au...
1. Apatiment- Kunduchi Beach
Ina Vyumba 2 Kimoja Kina Choo ndani, Sebule, Jiko na Choo cha Kuchangia.
Ina Fensi, Maji ya dawasco, Luku yake .
Inapangishwa Kwa Tsh 350,000 Kwa Mwezi Mmoja...
Nyumba inapatikana mbezi juu, kituo cha makonde.
Nyumba ina vyumba vinne (ikiwemo viwili master bedroom)
Vyumba vyote vina kabati za kuhifadhi nguo.
Nyumba inajitegemea kwenye kila kitu...
Chumba Choo Sebule na Jiko. Ina Luku yake, Maji ya dawasco Masaa 24, ndani ya fensi na Parking IPO.
Nyumba ipo Mbezi Beach, Bei ni Tshs 280,000/Mwezi.
0686648630
Sent using Jamii Forums mobile app
CHUMBA KIMESHALIPIWA,
Asanteni kwa ushirikiano wenu, hata wale ambao hawakua na nia ya kuchukua chumba ila walichangia na kufanya uzi kuendelea kua juu!
Ukiwa na hitaji la nyumba au chumba...
Habari waheshimiwa,
Nyumba ipo Dodoma maeneo ya Mipango imepakana na Chuo cha Madini,Unapanda Daladala moja mpaka mjini hakuna ulazima wa kupanda bodaboda kutoka nyumbani
-Ina vyumba viwili self...
Nyumba inapatikana Mbezi mwisho.
Kutoka stand mpya ya mbezi ni mwendo wa dakika nane kwa miguu mpaka kwenye Nyumba.
MAELEZO
Nyumba ina vyumba vitatu kimoja ni self-contained room.
Sitting room...
Nyumba inapatikana mbezi beach (nyuma ya shamo tower business park)
Nyumba ina vyumba vinne (viwili ni Master bedrooms)
Ina kabati za vyumbani.
Tiles, gypsums, slides windows plus perving blocks...
Nyumba ipo Kimara Baruti kutoka morogoro road ni dk 4 Ina vyumba vitatu vya kulala kimoja master bedroom sebule jiko pamoja na public toilet Ina Tailz jipsum na MAJI yanatoka ndani masaa 24 pia...
Kama inavyosomeka hapo juu, inahitajika nyumba ya kupanga maeneo hayo niliyoyataja au karibu yake. Kodi isizidi milioni moja kwa miezi 6.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za majukumu nyote,
Kuna Dada yangu kakwama anauza NYUMBA yake, iliyopo maeneo ya singida mjini.
MAELEZO
NYUMBA inapatikana singida mjini maeneo ya JINERI.
kutoka stand kwa bajaji ni tsh 500...
Habari! Kuna chumba kinapangishwa maeneo ya Buguruni kwa Mnyamani. Chumba hicho nilimpangia dada angu ambaye alikuwa anatoka mkoani kuja Dar, lakini kwa bahati mbaya akapata majukumu mengine huko...
Mambo vp wanaJF
Baada ya kusaka kazi kwa Muda mrefu kwasasa nmepata kazi katka jiji la arusha na natakiwa kuanza January 2...hv sasa natafuta nyumba ya kupanga na kodi ianzie 150000 hadi 200000...
Nyumba inapatikana Tabata Segerea (karibu na stand)
Umbali kutoka lami ni meter 150 na dakika 3-5 mpaka stand ya Segerea.
Nyumba ni mpya kabisa.
Nyumba ni ghorofa moja
1. UPANDE WA CHINI
kuna...
Nyumba ipo peke yake kwenye uzio, ina eneo kubwa na bustani!
Nyumba ina vyumba vitatu, kimoja ni master, nina, sifa zake ni nyumba za kisasa, waweza ona picha! mazingira ni safi na maji ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.