Apartment mpya kabisa hizi zipo kmr temboni upande wa kulia km unaenda mbezi kutoka main road ni dk 5 tuu kwa miguu zipo 3 kwenye kampaundi moja apartment moja ndio imebakia ina vyumba 2 vikubwa...
Habari wana jukwaa
Natafuta chumba cha kupanga, maeneo ya Kimara, Buguruni, Magomeni au eneo lolote lisilo na Foleni ya Kwenda Muhimbili National Hospital(gari moja)
Kiwe kizuri, ikiwezekana na...
Fully furnished 4 bedroom house for rent available click here to view .
Fully furnished 4 bedrooms house two rooms are ensuite and one master bedroom, and one single room. Kitchen, Sitting Room...
Wakuu kama kuna mdau ana nyumba full ya kupanga Mwanagati - Dar Es Salaam, iwe ya kujitegemea na Uzio kabisa na Parking yenye nafasi kidogo. Bajeti around 250K -300K.
Ahsante kwa mwenye nayo...
Nyumba ya vyumba 4 inapangishwa ina kila kitu ndani bonyeza hapa.
Fully furnished 4 bedrooms house two rooms are ensuite and one master bedroom, and one single room. Kitchen, Sitting Room, Dining...
Rejea kichwa cha habar hapo juu.
Chumba sebule choo chake kipo vizur kina tiles bei yake 200,000 kwa mwezi.
Pia ipo kubwa vyumba viwili choo chake na sehemu ya jiko. Bei yake 300,000/- kwa...
Nyumba inapangishwa tegeta masaiti,vyumba viwili vya ndani,sebule na dining na servant quarter ya vyumba viwili nje.maji na umeme upo,plus ina faida nyingine ya kukodi hii nyumba kwasababu ina...
Kuna vyumba vinapangishwa Dodoma mjini, self contained, woodern syling board, no tiles but nice floor, water available in doors 24hrs, electricity (10,000/= kwa mwezi), bei 80,000/= kwa mwezi...
Kama unahitaji la kupanga nyumba Arusha mjini kisongo unaweza kuwasiliana na mimi inbox
Ina vyumba jumla vitano
Ukuta
Maelezo mengine kwa wale walio serious njoo inbox
Habari wadau.
Ninapangisha nyumba yangu chumba kimoja na sebule, kama unahitaji ni PM
- Kuna Umeme, hakuna maji ya DAWASCO ila hakuna shida ya maji na ni KARIBU na BARABARA.
- PM If interested...
WAREHOUSE FOR RENT
(KILIMO WAREHOUSE)
Location;
Yombo vituka area,behind Tazara Railway station,Dar es salaam.
7.7 km from Dar es salaam harbour port
6.6 from Dar es salaam international airport...
Salamu salama... Humu ndani
Napangisha nyumba na sebule yake ambayo. Ni master yani Chumba chenye choo ndani na sebule yake pamoja na jiko vyote vipo ndani , ipo maeneo ya mwenge karibu kabisa na...
Habarini ndgu nakuja jukwaani nikitafuta chumba kwa makazi kwa watu Wa iringa mliopo mtaa Wa kihesa karibu na barabara kuu ya iringa Dodoma nahitaji chumba kwa ajili ya kuishi bei maelewano ila...
Kichwa cha Habari chatajwa... Natafuta chumba cha Kupanga ambacho kodi yake kwa Mwezi haitazidi 30,000/- maana yake kwa miezi sita ni 180,000/-
Kiwe maeneo ya Kibamba hasa hasa Kibamba Chama au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.