Tuna bind Reseach kwa had cover material. Material imetoka canada ipo ya kutosha na ni kwa haraka sana I mean within 2hrs unapewa kazi yako. vile vile tuna print kwa bei poa kabisa 100/= per...
Starlet
Carina
Corola
Sprinter and the like...
Iliyotumika ila iko katika hali nzuri sana badget 4m na ahitaji matengenezo
Au
Mwenye body la rav 4 au nilizotaja hapo juu lakin liwe zima sana...
Wakuu,
Shamba la ekari 3 linauzwa hapo kisarawe karibu tu na Dar Es Salaam, ekari zote 3 unapewa kwa milioni 4 tu na bei inapunguwa.
Mawasiliano: +255769142586 sms/call/whatsapp
Wadau jug langu la maji ya moto(heater) limeharibika na nilitumia kama mwezi tu nitapata wapi fundi? maeneo ya kariakoo au kigamboni itakuwa vizuri zaidi.
shamba lenye ukubwa wa Ekari 3 linauzwa Kiwangwa.
Lipo Km 3 kutoka baraa kuu ya Bagmoyo -Msata.
Ni zuri sana kwa Kilimo au Ufugaji. Kuna chemchem ya maji shambani, unaweka pampu tu unamwagilia...
Wakuu,
Daf nyingine kutoka UK imetoka port jana inauzwa. Data zake kifupi ni kama zifuatazo:
Mwaka: 2005
General Condition; Iko vizuri sana na very clean pia
Mileage: 400,000
Gear box: Manual...
Fullyfurnished lovely apartment having two bedrooms, having parking, in a quiet location, area with access tarmac road, is available in a conducive environment with good neighborhood. One of the...
nyumba inauzwa kigamboni mikwambe dar es salaam.
Nyumba ina vyumba vitatu na sebule na eneo na la uwanja lipo.nyumba ipo karibu kabisa na kwa mizengo pinda au (katavi)
Umeme upo na maji hayana...
Habarini wanajamvi
Naomba kujuzwa upatikanaji wa mashamba ya kukodi na kununua huko rufiji uko vipi? Siku za nyuma nilianzisha thread ya mashamba ya kukodi huko ruvu, na napenda kuwashukuru sana...
Wakuu kwema,
Kiwanja cha hekari 10 kinauzwa Singida eneo la
Mandewa karibu na hospitali ya rufaa, km 6 kutoka
round about iliyo karibu na uwanja wa peoples,kila
heka inauzwa milion 3, eneo...
Nauza iphone 5s tsh650000 unatumia LAINI zote kwa nchi yeyote na iphone 4s tsh.500000
mazungumzo yapo 4s ipo full na box lake full na head
0783298701, sms, whatsapp, call.
Wakuu poleni na pilika
Nahitaji ramani ya nyumba ya vyumba 4 vya kulala singo storey building
kwa yeyote anayefahamu ninapoweza kuipata na gharama zake please ani PM
mbarikiwe sana
Inamatokeo mazuri kwa kutibu,kusaidia na kuzuia uvimbe(fibroid),tezi na maotea katika tumbo la uzazi.
Maumivu ya tumbo la mwezi-mgongo,kiuno,nyonga na miguu.
Kuzibua mirija ya uzazi na kurekebisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.