Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Mwenye charger ya betri za gari volt 12 anicheki hâta km à ni used 0766652017
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Viwanja viwili vinauzwa Goba. Kimoja kina ukubwa wa sqm 1920 kipo Goba mwisho Marobo kinauzwa Tshs Millioni 10. Kingine kina sqm 1160 bei yake Tshs Millioni 7. Piga simu namba 0715595956...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
ni heka 100,liko pembeni ya barabara kuu ya tunduma-sumbawanga,km 70 kutoka tunduma mjini.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ipo Kinondoni shamba eneo halina maji na iko barabarani mtaani, ukubwa wake ni hatua 30*20 ila nyumba yenyewe inahitaji marekebisho .. 0789634651
0 Reactions
3 Replies
1K Views
opa bei mil 9.5 bima compressive millage 45,000km model 2001. Maongezi yapo.... raum bei mil 5.8
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama una print t-shirt nzuri za moto na kwa bei nzuri na kwa wakati nitafute tufanye kazi pamoja. 0715 81 21 60
0 Reactions
0 Replies
929 Views
Ni htc chacha Bei 120000 Nipo dar Contact 0758293598
0 Reactions
0 Replies
924 Views
Ndugu wadau mimi nimepata uhamisho kikazi toka Dar kwenda Geita kwahyo nataka niuze vitu vinavyoweza sumbua kubeba. Kwanza ni kitanda cha 5*6 na godoro lake aina ya Dodom
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Ni kiwanja chenye eneo la kutosha na chenye ubora, hakipo kwenye mgogoro wa mladi wowote, kina hati na building permit, kina square 1047, kina fence nzuri ya ukuta, kuna kisima. Kipo kigamboni...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
husika na kichwa cha habari hapo juu vigaranga wa Malawi wana wiki 1 na kuku wa kienyeji wana miezi 6 wanauzwa. vifaranga sh. 2000 na kuku wa miezi 6 sh. 10000. 0754078015
0 Reactions
2 Replies
4K Views
  • Closed
natunga na kuandika script na story za aina ya kutisha na love story.Naitaji mzamini wakuni zamini kazi yangu hata kwa mkataba wa aina yoyote! kama atanifadhili kazi zangu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nadhani kichwa kinajieleza wandugu. kama kuna namna naweza kupata hizi line tufahamishane
0 Reactions
7 Replies
1K Views
nauza samaki wa kufuga aina tofauti na ntakeletea mpaka ulipo kwa bei nafuu gapi pea 5000 red pea 10000 gold pea 10000 gold wakubwa 30000 gulam 20000 Picha...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
With three bedrooms, you will be all comfortable. The house is spacious; you will be very pleased to find this home for your family. You need your space and this is perfect. The home has...
0 Reactions
0 Replies
568 Views
Frem yenye Umeme inapangishwa..iko Kiyangu Soko sela. Bei 150'000 Kwa mwezi
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni kiwanja kilicho sehemu nzuri na hakina mgogoro wa mradi wowote, kina square 1047, kina fence nzuri ya ukuta,kuna kisima pia. Kipo maeneo ya kigamboni kibanda plot 344 block 19 karibu kabisa na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari. Natafuta Chumba na Sebule vya kupanga Dar es Salaam. Mwenye kuweza kunionyesha anisaidie tafadhali. Unaweza ni PM. Asanteni
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nyumba yenye vyumba viwili na varanda iliyopo Kibwegere karibu na mto mpiji upande wa Kibaha inauzwa. Kuna choo na bafu ya nje pamoja na fremu ya stoo. Bei 10 Milion Mawasiliano 0658977330
0 Reactions
1 Replies
921 Views
Nyumba iliyoko karibu na Makumbusho Bus Terminal inauzwa. Ina ukubwa wa 4,000 SF (371 SQM). Bei TZS 180 Million Ina offer. Process ya kupata Title deed ilianza na kusimama wakati wa kutakiwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
,kwa mwenye kuuza madira ya wanawake na kuweza kusafirisha tafadhali njoo Pm kwa mazungumzo zaidi,
1 Reactions
12 Replies
13K Views
Back
Top Bottom