Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Habari wandugu, ninauza gari model: Toyota Spacio Mile: 95,000km cc: 1490 Iko katika hali nzuri, nina shida na pesa ya kulipia ada ndio sababu naiuza kwa bei ya 5.5Million. Simu: 0686-654180
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Samsung galaxy s4 16gb for more specifications visit gsm arena,simu bado iko katika hali nzuri na bei inapoa kidogo nichek 0717297923 if ur interested
0 Reactions
0 Replies
660 Views
natafuta smu ya screen touch nzuri kwa elfu 70
0 Reactions
9 Replies
3K Views
kiwanja kipo Mwandege-DSM, kina ukubwa wa unaozidi robo eka lakin hakifiki nusu eka, bei ni Tsh.milion 5 kama una pungufu njoo tuelewane,. sio lazima ulipe yote kwa mara moja, unaweza kulipa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nyumba ya vyumba 3 kimoja ni master public toilet jiko ina tiles. Bei yake ni shilingi 300,000/=kodi ya mwaka au miez 10 itapokelewa. Maji yapo hakuna malipo kwa dalali.. anayeitaji apige simu...
0 Reactions
0 Replies
970 Views
JE WEWE NI MCHIMBAJI WA DHAHABU, AU UNAFANYA BIASHARA YA KUNUNUA NA KUUZA KWA FAIDA? Kama hivyo ndivyo, Wacha nikupe deal. TUNAUZA MGODI MZURI WA DHAHABU. Mgodi wetu ni rasmi, Wemye vibali...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Ina vyumba vitatu vya kulala.kimoja master, jiko.public toilet.ina maji ndani.ina simtank nje.ipo kimara resort karibu na barabara kodi laki 350000.inahitajika kodi ya miez 7.mawasiliano 0716 160639
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Nahitaji wataalamu wa kunijengea green house, no yangu simu 0765604750
0 Reactions
7 Replies
2K Views
gari tajwa hapo juu inauzwa ipo katika hali nzuri bei milioni 8 kwa mawasiliano zaidi njoo PM,whatsapp au piga 0714358610
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kontena hili lina vyumba viwili ndani,nafasi ya nje ni kubwa linafaa kwa grosary,kwani eneo la nje ni kubwa au duka la vinywaji vya jumla.lipo kimara korogwe pembeni ya barabara kama unaenda...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Open university kitengo cha masuala ya technology kinatangaza nafasi ya masomo ya computer ya muda mfupi(short course)na ya muda mrefu(certificate &diploma)katika computer pamoja na masomo ya pre...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Features:- - 5 inch HD screen - runs Android gingerbread -comes wirh preloaded apps -comes with 8GB storage -3MP camera -1GB ram
0 Reactions
2 Replies
1K Views
naomba msaada kwa anaejua wapi ntapata toy za jumla Dar used na mpya.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Closed
Toyota carina t.i inauzwa bei rahisi. kwa tshs 6,500,000. Ipo Dar es salaam. mawasiliano zaidi: 0716880022
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Ombi kwa mafundi simu kama yupo aliye na mashine nzima ya Nokia N8 aniuzie. Simu yangu imekufa njia za kusoma line na haiwezi kupona. Nimeamua kubadilisha mashine yote. Aliyenayo please
0 Reactions
2 Replies
962 Views
Wadau plz nina Asali lita 160 nipo Iringa mjini.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Haya..kwa wale wanaoitaj camera kwa ajili ya video shooting, na picha ...nauza camera haraka .. zilikuz 3 imebaki moja .. ipo in good condition na bei ni nzurii...ina betri 3 ambazo zinakaa na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
guys natafuta jailbreaked modem au flasged modem ambayo inaweza kukubali line yoyote but isiwe universal modem iliyokua cracked especially ya voda na ningependa iwe ya huawei zte kwa yeyote mwenye...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Husafisha damu na kuondoa sumu mwilini. Kuondoa lehemu(cholestrol)mwilini. Maumivu ya miguu,baridi yabisi na gauti. Maumivu ya fizi kuvimba au kutoa damu. Tonsillitis-tezi sugu na madonda kooni...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Natafuta simu aina ya galaxy s 2 used yenye khali nzuri.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom