Tairi ni kama ifuatavyo:
2 pieces Pirelli P Zero (PZ4) size 265/45R 18
2 pieces Ironman iMOVE GEN2 size 245/50R 18
Rim size ni inchi 18.
Hizi tairi niliagiza brand new kutoka USA mwezi...
Hii PIKIPIKI IMESHAUZWA, IMESHANUNULIWA NINA WA SHUKURU WATU WOTE WA HUMU NDANI KWA USHIRIKIANO WENU HATIMAE NIMEUZA SIKU NYINGINE NIKITANGAZA BIASHARA MSIWE NA SHAKA WALA WASIWASI YOYOTE
Wakuu...
Kwa ufupi.
Mashine za kuchimba miamba mahususi kwa visima vya maji, migodi au ujenzi.
Zinauzwa kutoka kampuni ya JCR RIGS ya India.
Zote nitakazokuwa na post hapa zipo India.
Ukiitaji utatumiwa...
Habari za wakati huu wakuu
Niende moja Kwa moja kwenye swali langu
Nahitaji kununua machine ya kukamua miwa (juice ya miwa)
Je machine ipi itanifaa interms of efficiency, uimara, pamoja na...
Zipo TV 3 zilikua kwenye Moja ya Ofisi ya Movies Store nahitaji kubadilisha kupata TV 1 kubwa so naziuza zote 3 kwa pamoja.
Mtu aje na 500,000 atazichukua zote 3 kwa pamoja, TV ni Mpyaaaaaaaa...
Machine ya miwa Kama hii ndio inayofaa maana wengi tunapenda usafi na hii itaifanya juisi iwe safi pindi unapoifanyia kazi.
Sifa nyingine umeme kidogo tu unatumika Hakika inafaa kibiashara...
Unahitaji pikipiki au BAJAJI kwa Ajili ya mutumizi yako binafsi, biashara au taasisi karibu tukuhudumie
TVS, BOXER, HERO na aina zingine zote zinapatikana.
kwa Dsm pekee
Tupigie 0652659775 au...
Hii ni offer kubwa kwa sababu nina uhitaji wa haraka wa pesa. Heat press machine iko full na vifaa vyake vya kuprint caps,mugs,plates (5in1) vipya. Na Epson L3110 imetumika kidogo sana ni kama...
PIKIPIKI IMESHAUZWA, IMESHANUNULIWA NINA WA SHUKURU WATU WOTE WA HUMU NDANI KWA USHIRIKIANO WENU HATIMAE NIMEUZA SIKU NYINGINE NIKITANGAZA BIASHARA MSIWE NA SHAKA WALA WASIWASI YOYOTE
Wakuu ni...
SunNova Solar Inverter Pure Sine Wave (Brand New/Haijawahi kutumika)
Falcon Eco 2000VA/24V
Power - 1,300W
Weight 15.5kg
Ninapatikana Mbezi Louis (Mageti)
Kama upo interested nicheki 0629 019820
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.