ubusy wa kazi unafanya tusahau sana afya zetu,foleni barabarani unafika nyumban muda umeenda na unashindwa kutoka na kwenda gym au kukimbia barabaran, lakini vipi ukiwa na mashine ya kukimbia...
Hello wana jamvi kama unataka kuongeza kipato chako nakukaribisha machine za kukamua juisi ya miwa inazipata kwetu
Sifa zake inakamua na kuchuja yenyewe ni machine kutoka China
Pia ulaji wa umeme...
Nauza king'amuzi cha Startimes kikiwa na dish lake, remote controller, waya wake wa kutoka kwenye dish hadi kwenye decoder pamoja na power adopter yake kwa Tshs 35,000
Kimetumika miezi 4 tu...
Mbweni Stand alone House, 3 bedrooms, Toilets, Kitchen and Dining, Parkin space up to 5 cars, Dawasa Water supply, Garden space,sqm 460, hati miliki ipo.
Price tshs.180million.
Dalali pia...
KUNA PAGE HAPA SINA KAZI NAYO NIPENI HELA MPIGE PESA ZA ZUCK
Kama unataka ukurasa ambao una watu wengi tayari basi huu hapa nipe hela umalize kwa kuweka video 2 pekee na ukidhi masharti
Haina...
Habari zenu,
Kama title inavyosema, nina duka la vinywaji baridi na moto, ila nimeamua kuuza kutokana na kukosa msimamizi na shughuli zangu zimekuwa zinanibana sana.
Hivyo Ninauza
1. Containter...
Pata ramani nzuri na za kisasa zaidi
Kwa wachoraji waliobobea katika maswala ya uchoraji ramani na ujenzi pia tutakupa ushauri kuhusu maswala ya ramani na ujenzi kwa ujumla
Mawasiliano...
KARIBU KENZO ACCESSORIES
Kenzo accessories ni wauzaji wa Accessories zote za simu, saa na Smartwatch tunauza jumla na rejreja
ACCESSORIES TUNAZO UZA
📌Smartwatch
📌Saa za kawaida
📌EarPods...
Jipatie pikipiki aina ya HONLG, hii kwa lugha nyingine unaweza kusema ni chopa,ikitembea imetembea mf. Cc 250 ukiondoka na basi toka Dar kwenda Kwanza,basi litakukuta ulishasinzia kabisa.
HONLG Cc...
Cheni Original Haipauki | Original Genosos necklace
Bidhaa hii ni kutoka Japan,
Original Genosos Necklace haipauki kwa gharama ya Elfu hansini tu.
Free delivery in Dar es salaam.
Mikoani...
Tunauza:
Original cardet
Original Jeans
Quality official shirts
Casual Shirts
Quality tshirts
Pure Leather simple
Pure Leather official shoes
original Sandoz
Quality wahtches
Etc
NB tunauza...
waheshimiwa habari
tunauza desktop za aina zote bei chee
hp corei5 ina ram 4gb hdd 1000gb(1tb) monitor nch 17 accer nk(full) desktop lak 350000..ukitaka tuongeze ukubwa ni ela yako tu
hp...
Ney ubuyu wa Kishua 😋
Ubuyu Mtamu wenye ladha nzuri ambao hachubui Mdomo unapatikana kwangu
Ladha ya Vanilla, Chocolate na Pilipili
Kisado 20,000 Ndoo ndogo 40,000 na Ndoo kubwa 60,000
Kwa...
Kunukia vizuri ni muhimu mno aisee...tuna Perfumes kali kabisa, Long Lasting na Bei Kitonga[emoji817].
Perfumes zetu compliments lazima upate kwa sababu zinanukia vizuri, zimepoa na zinakaa...
We tuambie budget yako ni shilling ngapi na unahitaji home appliances ipi tuko kwa ajili yako
Kwalioko dar es salaam unaletewa mzigo ndo unalipa na mikoani unatuma fedha ndo tunakutumia mzigo...
Karibuni KENZO FURNITURE tunatengeneza furniture bora na za kisasa
[emoji419]Tunatengeneza furniture za aina zote
[emoji184]Tv stand
[emoji184]Tv wall unit
[emoji184]Sofa [emoji934]...
Nauza Bata Mzinga wawili , Kuku aina ya Brahma wawili na Kuku aina ya Kuchi wawili wote wakiwa na umri wa miezi minne bei maelewano napatikana Dumila Morogoro Kwa mawasiliano piga simu 0655760381
Nauza king'amuzi cha Startimes kwa Tshs 20,000 tu. Kipo na Adapter yake ya umeme pamoja na remote controller yake.
Kimetumika miezi mitano peke yake
Nipo Mbezi Luis karibu na Stand ya mabasi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.