Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

Nauza Computer Softwares aina zote :) Adobe packs, Corel draw, Wondershares software zote, Sony Vegas, After effects project files, SPSS Statics by IBM, Excels Formulas, na zingine nyingi TU...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari wanajamvi....? Hii ni habari njema kwa wafanya biashara wenye maduka makubwa,kati na madogo yenye uhitaji,,,, Kampuni yetu pendwa ya NEXIS tunapenda kuwataarifu kuwa tunawakaribisha ili...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
MOCO Services ni Wabobezi wa kurekebisha vifaa vya mawasiliano SIMU na Kompyuta. Tupo Mkoani Mbeya, Mwanjelwa, Barabara ya Juakali. Tumejikita katika ufundi wa "hardware pamoja na software"...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Utakuwezesha kufatilia kinachoendelea kwenye biashara yako hata ukiwa mbali nayo.
0 Reactions
2 Replies
629 Views
  • Poll Poll
Maelezo Kwa Kiswahili Habari njema kwa wafanyabiashara mliokuwa mnapata changamoto juu ya namna bora ya kusimamia biashara zenu. Adiuta Business Assistant ni Mfumo unaokusaidia kusimamia fedha za...
11 Reactions
43 Replies
11K Views
Naomba kupata maoni yenu wenye uzeofu na Zuku Internet, nataka kuweka package yao ya 20MB. Maoni na ushauri please
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wana JamiiForum, Humu ndani. Utangulizi Dalium Technology ni kampuni ya kitechnolojia changa iliyondwa na vijana wa kitanzania. Kampuni hii inajikita katika utoaji wa huduma za...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
LUOWEBS AND SYSTEMS DESIGNERS AND MANAGERS Watengenezaji na wabunifu wa Mifumo (Systems) na tovuti (Webs) mbalimbali za kisasa kwaajili ya Taasisi, Makampuni, Biasharana Watubinafsi, Lengo ni...
0 Reactions
0 Replies
798 Views
Habari Kwa majina naitwa msafiri juma ni mtengenezaji wa mifumo mablimbali ya computer Leo hii nawalea mfumo wa dukani amabou unaweza kutumika popote bila shida Unafanida nying saana kwa...
1 Reactions
4 Replies
786 Views
Je umeshawahi kujiuliza ni kivipi wateja walio mali na duka lako wanaweza kupata bidhaa zako ? Dunia ya sasa imeamia kiganjani. wateja wako hawana haja ya kuja dukani kwako tena. weka duka lako...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Click Up company limited tumeleta mfumo maalaumu kwa ajili ya kumanage na kutunza kumbukumbu za shule yako. mfumo huu unakuja na biometric device maalumu kwaajili ya kufuatilia attendance ya...
0 Reactions
2 Replies
990 Views
Nb; bei iliyopo kwenye tangazo ni bei elekezi. Pia tunafundisha programming language za web app na Android. PHP, PYTHON, JS, JAVA, KOTLIN. LARAVEL, FLASK, REACR. Kwa bei za mafunzo...
0 Reactions
0 Replies
444 Views
This training is intended to Equip participants with necessary skills for preparing Financial Statements using Microsoft Excel techniques... Meet the experts in the field of Accountancy... Call...
0 Reactions
2 Replies
519 Views
Pakua sasa kupitia Google Playstore
0 Reactions
0 Replies
331 Views
Soma au Sikiliza neno la Mungu katika simu yako ya mkononi kwa kutumia app ya Biblia Takatifu na Sauti. 1. Biblia hii inakuwezesha kusoma au kusikiliza sauti bila intaneti. (HAITUMII BANDO) 2...
8 Reactions
48 Replies
6K Views
App inakuwezesha kusoma PDF faili na pia ina nyenzo nyingi za PDF za bila malipo ambazo zinafanya kazi bila kutumia intaneti Unaweza kufanya yafuatayo Kupunguza ukubwa wa faili la PDF (Compress...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Je, wewe ni mmiliki wa hospital, shule ama micro-finance yoyote na unahitaji huduma zetu tupo kwaajili yako. Zendela company limited ni kampuni ya IT iliyopo dar es salaam na iliyojikita katika...
0 Reactions
0 Replies
876 Views
Je, wewe ni mmiliki wa BIASHARA ambaye ni Mkazi wa Maeneo TAJWA hapo JUU? Je, unataka kuweka biashara yako mtandaoni ili iwe ya kisasa na kurahisisha mawasiliano yako? Je, wewe ni mmiliki wa...
1 Reactions
1 Replies
651 Views
Pata huduma za serikali zaidi ya 130 kama vile Kupata cheti cha kuzaliwa, kupata namba ya nida, kutuma maombi ya mkopo wa elimnu ya juu, kutuma maombi ya chuo TCU, kutengeneza tin number, kuhakiki...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Back
Top Bottom