Biashara ya pharmacy ni biashara kubwa na inahitaji umakini katika kuifatilia, changamoto zilizopo zimepata suluhisho na e-store mfumo maalumu wa kidijitali kwenye duka lako utakao kuhakikishia...
e-pharmacy ni mfumo wa komputa dukani kwako utakaounganishwa na aplikesheni ya simu yako kupata ripoti ya mauzu ya siku, wiki hata mwezi, ukiwa popote pale.
Utaweza kuhifadhi taarifa za duka lako...
Salamu wakuu.
Kwa yeyote mwenye ujuzi wa kutengeneza/kuandika software/program ya kuchakata matokeo ya mitihani kwa idadi ya wanafunzi kuanzia 15000 hadi 25000 ninaihitaji. Mahitaji na vitu...
hellow there karibu kwenye offer ya christmass
nadesign website for free kwa mashule,ngo,kampuni na wafanyibiashara etc
great experise in php,mysql,css,html
expect to get high quality website...
Heshima kwema wakuu...
Leo, tunawaletea mfumo wa mauzo uliojaribiwa na kufanya vizuri sana kwa wateja wetu. Mfumo huu ni desktop application (Language iliyotumika ni c# na database ni SQLServer...
Let clarify some issues here:
Kuna project nafanya hapa Dar es Salaam kwenye kampuni ya energy, natengeneza consumers monitoring system inayowezesha consumers kucheki energy consumption kupitia...
Wakuu Nawaslimu kwa mpigo popote mlipo mnapolijenga taifa.
Mie ni mtaalam wa masuala ya fedha kwa kiasi chake, nimetengeneza spreadsheet template ambayo inawezesha ku-manage/track bidhaa/stock...
Kasuku ni app inayoweza kukusaidia katika biashara yako kwan itakua rahisi wateja wako kukupata na pia kwa mteja inamrahisishia kupata number mbalimbali za kampun office,kusajili biashara yako...
Codelab Technologies Call us (0768 108 131)
Micro-finance Software ni software kwajili ya makampuni ya kukopesha (micro-credit/micro-finance companies) software hii itaiwezesha kufanya...
Habari Wana JF
Point of Sales hii ni Software ambayo inafanya record za mauzo yako ya kila siku,ina fanya record ya bidhaa zilizo stock, inatunza kumbukumbu za bidhaa zinazotoka na kuingia...
1.SIMPLE WEBSITE
Hii simple website hatutengenezi kwa gharama kubwa kwasababu inamuonekano mzuri lakini haina vitu vingi ndani yake.
Itakuwa hivi ikishakamilika,
-Domain name yako.. mfano-...
NANE NANE SPECIAL OFFER
Kwa wale wanao hitaji huduma ya graphic design, mfano unahitaji logo
Banner,
Flyers,
Bronchures,
Stickers,
T-shirt design and printing.
Nitafute sasa nina ofa yako...
Habari zenu wana JF!
Jipatie software maalumu itakayo kusaidia kutuma ujumbe mfupi, mmoja kwa watu wengi na kwa wakati mmoja.. Software hii itakusaidia kutoa taarifa kwa wateja wako na pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.