Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Nahitaji 3d glasses za red and cyan? kama unazo, plz put ur offers...
1 Reactions
0 Replies
702 Views
Price:600,000/- Only one available If you need one more you can make Order from me CONTACTS: 0657209956 Network & OS...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nauza simu tajwa hapo juu bei 300k nimeitumia miezi miwili,chanzo cha kuiuza nataka ninunue i4n 5.niko mbeya.0716134171
0 Reactions
2 Replies
782 Views
Spea za ford ranger na ford everest na Mazda moder zote zabkisasa zinapatikana contact 0713935738
0 Reactions
3 Replies
2K Views
vyote naviuza kwa Tsh milioni moja na laki mbili tu. TSH 1,200,000/= price is fixed. hapa chini ni makadirio ya bei ya kimoja kimoja japo mimi nilinunua zaidi ya hapo. dstv ya decoder 2 na ungo...
3 Reactions
39 Replies
6K Views
7
0 Reactions
1 Replies
911 Views
Wakuu,Bajeti yangu ni Milioni 8,mwenye nayo iliyosimama aje kwenye uzi huu tubargain biashara,serious please!!
0 Reactions
12 Replies
1K Views
No accessories Niko dsm Plz pm if interested
0 Reactions
0 Replies
551 Views
Wana jf, napenda kuwakaribisha wote mnaopenda kujifunza ujasiriamali kushiriki mafunzo ya siku 3, ya biashara yatayofanyika kuanzia tarehe 13 hadi 15 decemba katika hotel ya victoria palace...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ipo Mufindi - Iringa. Kuna miti 400 na kila mti mmoja ni Tsh 30,000/= Zipo kuanzia 13m. Barabara inafika mpaka kwenye miti. Contact: 0769877495
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza hii tab 3 in new condition , boxed na kila kitu chake. Inatumia wireless only Not sim card. Bei laki 5
0 Reactions
2 Replies
838 Views
Kiwanja kinauzwa Kigamboni eneo la kimbiji/kijaka lenye ukubwa wa sqm 1,440. kiko eneo zuri karibu na barabara pia karibu na chuo kipya cha biashara. Bei shilingi million 12.5. Kiwanja kina offer...
1 Reactions
0 Replies
855 Views
http://bit.ly/1cjCGUj Simu tajwa hapo juu zinauzwa Bei yake ni TSh 450,000/= bila kupungua Aina ni iPhone 4, Rangi Nyeusi, Size 16GB, zote zipo Unlocked PM for the deal
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Application zote ziko pouwa,sema imechoka kimtindo,so if u are interested ni PM...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Zipo mbili na kila moja ina vyumba viwili vya kulala kimojawapo kikiwa masta.jiko na sebure. Kila huduma muhimu inapatikana hapo. Kodi shs 500,000. Kwa maelezo zaidi piga simu namba 075531223
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Wadau wa jamvini Habari. Natamani kununua shamba Moshi, maeneo ya kuanzia Machine Tools mpaka Uchira. Eneo linalofaa kwa kuishi na kilimo/Ufugaji minimum ekari 2. Umbali wa kutoka huduma za maji...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
mambo vipi nauza head phone tajwa hapo juu... nimezitumia kwa muda kama wa 2 month bei ni elf 60 tu
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwenye simu tajwa hapo juu naomba anicheki nataka niinue namb zangu ni0758743777
0 Reactions
0 Replies
676 Views
Back
Top Bottom