Wadau naombs msaada kwa anaejua mahali vilipo vyumba vya kupanga...zaidi napendelea chenye choo chake ndani yaan master,,,,,,offer yangu ni 70000 mpaka 80000 tshngs,,,,,,,namba yangu ya simu ni...
Wadau me ni mfanyakazi serikalini nimejichanga hela nimepata tumilioni 8.8 Nataka kuagiza gari noah 2001 au 2004 nahitaji msaada katika mambo yafuatayo
FOB
CIF
BID
Hivyo vyote vina maana gani...
Habari, Kwa mwenye kuhitaji huawei ascend inauzwa kwa only 180,000/.4GB memory card, hiko full kila kitu.Ni pm if hupo interested. NIPO DSM.Internal memory ni 2GB.Unlocked, Haina tatizo lolote...
Apartment inapangishwa iko regent mikocheni ina vitu vyote vya ndan( full furnished) e.g sofa t.v fridge,vin'gamuzi vyote including dstv,.na mengineyo, ina sebule, vyumba viwili self contained, na...
Jamani ninauza kiwanja chenye ukubwa wa nusu heka. Kipo kigamboni. Kijijini: Mwasonga. Near to Dar es salaam zoo. Kuna shule ya primary, secondary na zahanati. Mtu atakayetaka kuchukua ni lazima...
Wandugu,
Natafuta mtu yeyote ambaye yuko Bongo mwenye utaalam wa ku-shoot na ku-edit videos. Kama una background ya journalism hiyo itakuwa murua zaidi. Tafadhali wasaliana na mimi kama una...
Ipo kimara bucha, dakika moja kutoka barabarani, ipo ndani ya fence, ina mageti mawili, simtank lita 2000, vyumba 4 ( hakuna chumba self contained ), ina eneo kubwa kwa parking ( gari 10 ), haina...
Habari wana jf,kama ilivyoandikwa hapo juu,mziki ni wa dukani aina ya fideek original full set sound,sio wa kuchongesha..umetumika miezi nane tu,wenye power speaker za midi 2 na bass 2 za...
Salaam wanaJF,
Nahitaji kuuza gari zangu tatu. Hii ni kwa kuwa zinakaa hazina kazi na mimi nahitaji gari moja tu kwa mizunguko yangu. Nimekuwa nikizipark ila sasa kama ilivo kama gari ikikaa sana...
Wakuu Sim mpya inauzwa toleo la mwezi April Mwaka huu
Sim hii inatumia line 2 zote zinafanya kazi wa wakati mmoja
Iko poa kabisa nimeitumia hardly wk 2
Details za sim ni kama inavyooneka hapa...
Kwa wale wapenzi wa HTC, leo nawaletea kwenu mzigo mpya kabisa wa HTC one VX kwa bei ya Tshs. 550,000/=.
Baadhi ya features za hii simu ni hizi hapa:
MEMORY Card slot - microSD, up to 32 GB...
KWA WAFANYABIASHARA YA BAA Naam ndugu ninataka kushirikiana na mtu ambaye anapenda kufanya biashara ya baa eneo lipo Dar essalaam ilala barabara ya kawawa linavutia sana kwa kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.