Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Brand ni Dell Inspiron n4010
0 Reactions
1 Replies
293 Views
Kontena la ft 20 linapangishwa....lipo kando ya barabara ya lami( inaangaliana na barabara) mabibo Makutano. Kodi 90000 kwa mwezi. Linafaa kwa matumizi ya biashara mbalimbali mf duka...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Fresh Garlic Offer! 2,000 Tzs / Kg ($0.9/Kg) From Iringa - Tanzania MOQ: 100 Kgs Call: + 255 658 700 510 Grab this Offer Now!
1 Reactions
1 Replies
396 Views
Kiwanja kinauzwa Tabata Segerea, Urefu: mita 47 Upana: mita 19 Umeme na maji yameshafika kwenye kiwanja. Bei: 80M Simu: 0717508084
0 Reactions
1 Replies
469 Views
Ukienda Instagram andika "Masama home design" ni kampuni ya kitanzania inahisika na kusanifu majengo ya kisasa, ujenzi na interior design, mimi binafsi sijaona bado kampuni Tanzania zaidi ya hii...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Ndugu wanajamvi. Naitwa Saidi mkazi wa Pugu wilaya ya Ilala mkoa wa Dar es salaam natafuta gari ya abilia haice kwa ya kubebea abilia wilaya ya kisalawe kutoka kigogo sokoni kwenda msanga mpaka...
1 Reactions
0 Replies
411 Views
Wadau, Nitaji kupata kwa wingi na kwa bei ya jumla sabuni za magadi (pichani), kama unajua chimbo au unauza kwa bei nzuri naomba ni pm. Pia natafuta watu wenye ujuzi wa kutengeneza sabuni hizi.
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Nipigie kama unayo kwa namba 0627774377
0 Reactions
1 Replies
267 Views
Tumbo linahitaji Chakula ili uweze kuishi hivyo hivyo Ubongo unahitaji Chakula ili uweze kufikiria vyema. Imalisha afya yako ya Ubongo/Akili kwa kusoma vitabu vitakavyobadirisha maono yako...
2 Reactions
0 Replies
283 Views
Habari wana JF, kampuni yetu inawakaribisha nyote kununua bidhaa mbalimbali, 1. Viungo vya chai kama vile tea masala, mchaichai, mdalasini, chocolate tea, kahawa, iliki n.k. 2. Viungo vya chakula...
1 Reactions
0 Replies
396 Views
Habari wana JamiiForum, Humu ndani. Utangulizi Dalium Technology ni kampuni ya kitechnolojia changa iliyondwa na vijana wa kitanzania. Kampuni hii inajikita katika utoaji wa huduma za...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wandugu Nina ekari 100 pale vigwaza ninauza. Umbali Wa kutoka barabarani ni km 1 tu. Ninaweza kuuza hata kwa vipande vipande. Kama kuna MTU yupo interested anipigie 0676806077 tuongee.
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Shamba ekari 5 linauzwa milioni 3 lipo Vigwaza kilomita 9 kutoka barabarani. Kijiji kinaitwa Visezi zuri kwa ufugaji was mbuzi, kilimo. Maji ya bomba yapo kutoka halmashauri ya Bagamoyo. Kijiji...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Toyota ist Cc 1290 Mil 9.5 maongezi 0785 666 677 0739 888 488 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
111 Replies
27K Views
LIST ZA FREE GAMES TWAKUPATIA AFTER UNLOCK XBOX 360 PS3 PS VITA PSP ANGALIA VIDEO HAPO KWA KUELEWA ZAIDI PS4 NA XBOX ONE DOWNLOAD VIDEO HAPO CHINI...
0 Reactions
40 Replies
9K Views
Nyumba ni mpya kabisa hajakaa mtu, ina vyumba sita, sebule na fremu ya nje, ina fence, vyumba vitatu ni masters, inaweza ku accomodate familia mbili. Umeme maji ni uhakika, ipo barabarani...
0 Reactions
6 Replies
560 Views
Nahitaji mtu atayeniwekea Game za PC Call Of Duty Need For Speed GTA American Truck nk Anipe na Cost yake. Nipo DSM
0 Reactions
1 Replies
635 Views
Habari Ninatafuta toyota VITS ya kununua Mil 3.Mwenye nayo anipm,nipo Ifakara Mjini.
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Natafuta mtu wa kuniuzia mashati meupe mikono mifupi ya wanafunzi(pure cotton)Aina ya tomato) kwa Bei ya jumla nipo Kilombero,0652393263
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Kwa wakazi wa Dar ambao wanahitaji huduma zinazohusu ardhi au ushauri kuhusiana na maswala ya ardhi/majengo msisite kunitafuta. Ninatoa huduma zifuatazo: - Kufatilia zoezi la utoaji wa...
13 Reactions
53 Replies
4K Views
Back
Top Bottom