Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Habari zenu wapendwa? Naombeni msaada, mimi ni mfugaji wa Kuku wa nyama namshukuru Mungu najitahidi na napata matokeo mazuri Kuku ni wakubwa wanaridhisha, Tatizo langu ni kupata soko zuri/wateja...
1 Reactions
43 Replies
15K Views
Habari wana jamii forum [emoji830]︎Je hapo ulipo ni kiasi gani unaathirika uwepo wa maji na unatafuta njia bora ya kupata maji mengi ili uweze kutumia kwenye matumizi ya shambani na nyumbani...
0 Reactions
2 Replies
513 Views
Karibu tuongee. Jiunge na mjadala wa kuendesha biashara yako kwa mfumo wa digital kupitia smartphone yako kiganjani. Sisi hapa tunatoa application ya simu inayosaidia wafanyabiashara kutunza...
0 Reactions
0 Replies
708 Views
Bei: 160000 Location: Chanika kwazoo Lipo katika hali nzuri 0787969674
0 Reactions
0 Replies
746 Views
Huna haja ya kuwaza umeme kukatika kwani saan agency tumekuja na suluhisho kwaajili yako. Tutakufungi backup system nyumbani au ofisini kwako kwa teknolojia Bora na salama Unaweza ukajiuliza...
0 Reactions
1 Replies
830 Views
MNYAKI NATURE CIVIL WORKS ni wataamu wa kufanya finishing iliyo Bora na kwa bei nafuu. Kazi zetu ni; 1. GYPSUM DESIGNS Hapa unafanyiwa kila aina ya Dari na kukufanya ufurahie chaguo lako 2...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Wajomba natafuta hii samsung galaxy a52s 5g mpya kabisa...
1 Reactions
3 Replies
848 Views
TVS 150 AMEMALIZA MKATABA KIJANA ANATAKA KUIUZA YUPO DODOMA MJINI DOCUMENTS ZOTE ANAZO BEI 1,500,000/= Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
0 Reactions
0 Replies
636 Views
Mwenye kujua soko zuri la kamba za katani, tafadhali naomba msaada. Na tuwasiliane
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mzigo Mpya Umeingia Shock dust Cover za Ist ZImeingia jaman bei ya Jumla ni kama Bure .. karibuni dukani tunawauzia kwa bei ya jumla kuanzia Pc 4 tupo kariakoo mtaa wa Swahili na Udowe Kwa...
1 Reactions
4 Replies
916 Views
Nimeingia kwenye page yake nimekuta ameweka tangazo la Apps yake nikaenda Playstore nikakuta hiyo Apps ipo nimejisajili ila sasa inakubidi uwe na dollar moja kwa kuweza kupata subscription kwa...
11 Reactions
174 Replies
21K Views
Habari Wana JF, naomba msaada kwa mwenye kufahamu bei ya asali kwa Jumla Lita 20 inaweza fika kiasi gani?
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna mtu anajua jinsi ya kuomba makazi nyumba za kota Magomeni.
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Watu wote ambao mnahitaji fundi makini kwa bei nafuu sana, Fundi Umeme na ujenzi SAMICO kashusha bei kwa OFA. OFA Inaitwa Jenga kwa elfu 50 kwa chumba! Hii ni ofa kwa watu watano tu mwezi wa...
6 Reactions
20 Replies
1K Views
Wakuu habari,Tunauza Pallets za plastic zilizo na ubora, kwa mwenye uhitaji anaweza kunicheki tufanye biashara na delivery yenye uaminifu. Namba: 0757005897
1 Reactions
5 Replies
465 Views
Jamani nimezunguka majukwaa mengi natafuta mtu anaeuza sindano za kutengenezea carpets za namna hii popote pale Tz, maana nimehangaika kutafuta hadi sio poa, nimekuja na humu mnisaidie kwa muuzaji...
0 Reactions
1 Replies
482 Views
GAMING PC CALL/WHATSAPP 0653 713201 Bei 2 milion Motherboard Gigabyte Ab350m gaming 3 Processor Amd Ryzen 7 1800X Ram Ddr4 16GB Ssd Lexar 512GB (speed 3200MBps Read,, 3000MBps Write speed)...
0 Reactions
2 Replies
646 Views
Natafuta mtu anayeuza hii dawa kwa bei ya jumla full box, awe Arusha pls. Asante
0 Reactions
0 Replies
452 Views
Wana Jamii forum habar Wakuu nauza CCTV camera kwa bei ya hasara Camera sijaitumia kabisa Mahali napatikana Mtwara Bei ni Tsh 65,000
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari.. Nauza vitu vya ndani, TV Samsung inch 32.. imetumika one month. Fridge kubwa(imeisha gas), sofa set, Kitanda na Godoro, Dressing table(a bit used), stand ya TV(Ya dukani), Kabati la...
4 Reactions
156 Replies
18K Views
Back
Top Bottom