Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Kipindi cha awamu ya sita neno hili limetawala kwenye watu wanadaiwa na mabank na watu binafsi.. Ni nini kifanyike?
0 Reactions
4 Replies
627 Views
Wakuu, poleni na majukum. Ninaomba mnisaidie, hivi pumba za ngano ua zinapatikana wapi? kuna mtu kaniambia nijaribu kwa Bakhresa, hivi ni kweli naweza kuzipata apo? Kuna mtu ana contacts zozote...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Kiwanja kipo eneo la Nzuguni centre kabisa kwa wasiokufahamu ni Karibu na stendi kuu ya mabasi ya mikoani na soko kuu la ndugai . Kiwanja ni kwa ajili ya matumizi ya taasisi za kidini, shule na...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Wakuu, Jipatie Movies zako pendwa na Series. 🍿 MOVIE 1 - Tsh 1,000 🍿 MOVIE 7 - Tsh 5,000 🍿 MOVIE 15 - Tsh 10,000 💫SEASON 1 - Tsh 2,000 📍 Delivery In Dar 🛍
1 Reactions
2 Replies
527 Views
banda kubwa zuri la bati linauzwa bei 280,000 tu maongezi kdg yapo halina tatizo lolote!lipo kigamboni linahamishika kama unalihitaj nipigie 0653110660
0 Reactions
3 Replies
428 Views
Leo tunatoa ofa ya usajili wa Kampuni au jina la biashara kwa punguzo la 60%. Ofa hii itaisha ndani ya siku tatu. Popote ulipo huduma hii itakufikia, karibu tukuhudumie. Wasiliana na kwa simu...
1 Reactions
0 Replies
470 Views
Goodmans HD Projector UK Brand Model : 363566 Full HD Projector 1080p✅ 2000 LUMEN Led ✅ Built in Speakers✅ 2 HDMI input + VGA✅ USB (Flash pamoja na SD Card)✅ Bluetooth (Unaconnect kwenda...
1 Reactions
6 Replies
767 Views
Habari, Nahitaji bidhaa hizi, sukari mawe na almond nuts kwa bie ya jumla kwa Arusha au Dar, na bei zake zikoje kwa jumla. Ahsanteni.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau naomba msaada, nahitaji kuwa nanunua mbuzi wengi kwa wiki katika mnada wa mbuzi Vigwaza. Mwenye uzoefu wa siku zipo kuna mnada na bei zake. Natanguliza shukurani!
0 Reactions
10 Replies
4K Views
PS3 yangu imepata hitilafu. Naskia kuna mafundi wananunua PS3 mbovu ndio maana nimekuja hapa. Ilikuwa inafanya kazi vizuri toka nilipoizima jana (27/07/22). Ila sasa leo nimeamka niiwashe...
0 Reactions
2 Replies
626 Views
https://chat.whatsapp.com/LCg2LnzCokt1X3jj6LEAm3
1 Reactions
9 Replies
5K Views
Kama kichwa cha Habari kinavyosema njoo pm kama unazo Sent from my INE-LX1 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
2 Replies
380 Views
Wadau mimi ni mpenzi wa ujenzi sana ningependa kwenye huu uzi tujadili mambo mbali mbali na gharama na mitindo mbali mbali ya ujenziii..... Tuanze na hii nimependa sana huu ujenzj wataalamu...
2 Reactions
25 Replies
8K Views
Kutoka kwa Yericko Habari njema kwangu na kwa Watanzania nikuwa Kitabu chetu pendwa cha Ujasusi baada ya kuingia makubaliano na kampuni ya Kindle Publishers ili wauze kitabu kupitia amazon.com...
9 Reactions
26 Replies
4K Views
Tunauza Sweta za shule kwa bei ya jumla na rejareja . Kiwanda kipo DODOMA, Nzuguni karibuni muweke order Contact:+255 611153
1 Reactions
5 Replies
451 Views
PRICE:5.8 M MODEL:Starlet Glanza ep91 ENGINE: 4e fe 1331cc YEAR;2002 TRANS: Atomatic Push to start keyless entry Underseat subwoofer Sports rims Spare tyre wheel...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Nauza subwoofer ya Gari. Imekuja na Gari. gari ina mziki mkubwa sana naiondoa. inakuja pamoja na waya wake wa kufungia Ina mziki mzuri sana. ukiwa na hii Huhitaji kujaza buti zima mamitungi...
1 Reactions
6 Replies
871 Views
Tunatoa Huduma za kukusaidia kupata wateja kama una mali unauza ama unataka kupangisha ndani ya jiji la Dodoma. Pia Tunauza na kukusaidia kukupangisha. Nyumba, vyumba vya makazi ama biashara...
0 Reactions
0 Replies
330 Views
Inauzwa 290000, Ina ram gb4 Rom gb128 Battery 6000mah Ant-theft alert Android 11 Finger print Simu ipo katika hali nzuri Simu ipo dar
2 Reactions
4 Replies
713 Views
Ni standalone 4bedrooms living room dinning kitchen area size 800sqm Asking price 280mil note...viewing charges is applied
1 Reactions
1 Replies
634 Views
Back
Top Bottom