Ni Pm au mcheki huyu jamaa whatsapp. 0759522257
Pia kuna hizi softcopies.
Kwa Tsh 2,000 hadi 4,000 utapata softcopies za vitabu hivi. Whatsapp namba 0759522257. Pia kuna bonasi ya vitabu kama...
Karibuni katika maonyesho ya nanenane Dodoma.
Tuna matrekta aina ya Lovol kuanzia HP25-HP90 2wd/4wd
Tunauza kwa mkopo na cash.
Kwa mswali zaidi piga/tuma msg namba upewe maelekezo zaidi 0717217520
Kin'gamuzi Cha Startimes kinauzwa, kipo na antenna yake pamoja na waya wake, Bei TSH 40,000 napatikana Pugu Kigogo Fresh, DSM,
Mawasiliano 0625579184
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums...
Nahitaji kujua wanakopatikana samaki aina ya kibua au samaki wengine wa baharini mkoani Mwanza, daktari amependekeza nitumie mboga hiyo kuimarisha afya.
Tafadhali kama unajua wanakopatikana...
Ondoka na hii Toyota Rumion 2007
✅CC 1490
✅2WD
✅Black Mettalic
✅ Automatic
✅Utumiaji wa Mafuta 16.2km/l
✅Bima bure(Third party)
✅BEI:17M Pamoja na usajili
LIPA 5M Gari ikifika malizia ama lipa...
Natoa huduma ya clearlence kwa mizigo,pamoja na magari kutoka duniani kote,kwa haraka na kwa bei rafiki kabisa kwa maelezo Zaidi tupigie: +255710323599 au +255679132109
Nauza Printer Epson L805 imetumika mwaka mmoja tu. Inaprint sticker na picture vizuri na haibaguwi karatasi. Pia inaprint CD. Printer hii haina tatizo lolote kabisa. Inapatikana Mwanza Nyamagana...
Shamba lipo Dakika 10 kutoka Barabara kuu linafikika kwa Gari na Miguu
Lipo opposite na Serikali za Mitaa za Fukayosi.
Huduma za kijamii zipo
Linafaa kwa Kilimo na Makazi.
Bei ni 1,500,000...
Habari Wakuu,
Nimesafiri Mbeya kikazi, Nina uchovu wa safari manake nimesafiri na private car.
Hivi hapa Mbeya kuna sehemu naweza pata huduma ya massage yaani ile hot massage na mabinti warembo...
Shamba lipo fukayosi Bagamoyo.. lilikuwa la mananasi msimu uliopita na linatoa mananasi mazuri sana.
Lipo Fukayosi Bagamoyo - km 10 kutoka Bagamoyo road, shamba lina heka 15.
Document zote za...
Karibuni sana wakanda solutions|
Tunadesign business card nzuri Kwa bei nafuu.
12,000/=Tsh kudesign business card yako nzuri itakayotofautisha biashara yako na ya watu wengine
25,000/= kuprint...
Kama unahitaji kuku wa kienyeji wa nyama au wa kufuga basi, suluhisho liko hapa kwa Big Feed Store.
Kuku wanaanzia 8,000/= hadi 30,000/=
Wasiliana nasi kwa 0742870916.
Karibuni sana.
Kama unahitaji home tuition kwa mwanao kwa masomo tajwa hapo juu basi upo mahali sahihi. Nakuja nyumban kwa maeneo yote ya Karibu na Kimara, Mbezi, Ubungo, Kawe mpka Tegeta na Bunju, Masaki...
Kununua nyumba ya uwekezaji linaweza kuwa jambo rahisi sana wakati ambapo una mtaji fedha wa kutosha kununua nyumba unayotaka. Lakini kuuza nyumba ambayo huitaki inachukua miezi mingi mpaka miaka...
Habari, Nauza kiwanja Cheney hati miliki kipo kibaha picha ya ndege km 2 kutoka barabara kuu na kiwanja kipo barabarani kabisa . Ukubwa 1026 sqm, bei 12,000/= per sqm na huduma za jamii zote zipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.