Tunauza mitego ya mbu iko poa huna haja ya kuweka dawa Tena. Au kutumia net inafaa hata mahotelini sio kununua dawa kila siku bei ni 85000 karibun sana tupo Kariakor msimbaz piga simu...
Maelezo: Shamba linauzwa Liko maeneo ya Lutukila,Madaba(Km 1 kutoka barabara ya Songea -Njombe)Ukubwa wa shamba eka 100; Mazao yaliyopo,korosho eka 20,mitiki eka 5,parachichi eka 3,Kuna bonde la...
Habari njema kwa wamiliki wa shule,vyuo, taasisi za tafiti, n.k
👉Tunauza apparatus aina zote ,chemicals, na vifaa vya maabara aina zote.
Kwa mashuleni,vyuoni na taasisi mbalimbali za elimu na...
NAUZA SPEAKER AINA YA SONY SS-LB 455
Hizi ni SPEAKER ORIGINAL USED zenye nguvu kwa Usikivu mzuri wa sauti na MDUNDO wa nguvu.
Zipo SPEAKER Mbili ambazo kila moja ndani ina Speaker Nne.
Ina...
Habari wa jamiiforums
Kwa uendeshaji wa vyuo vya Afya nimeandaa mfumo maalum wa uratibu wa matokeo na ada kwa vyuo vya afya kwa ngazi ya NTA level 4,5 & 6
Mfumo huu utarahisisha kuhifadhi taarifa...
Habari karibu Bibi nyuki traders tunapatikana Magomeni sisi ni wataalam wa masuala yote yanayohusisha nyuki. tunajihusisha na uzalishaji na usambazaji wa mazao ya nyuki, asali pamoja na nta...
OFFA OFFA
iPhone 7 plus,
450,000 Tsh.
iphone X
600,000 Tsh
Iphone X Max
750,000 Tsh
Simu hizi ni mpya new, zinakuja toka china.
Weka order yako haraka. Pesa utalipa baada ya kupewa simu...
2006 NISSAN PATROL
Price Tshs. 30 Million
Engine TD42
Manual, 4000cc Fuel Diesel
Gari ya kazi kazi
In Very Good condition.
Imetunzwa vizuri mnoo
Mazungunzo kidogo yapo.
Whatsapp/call: 0744336336
USED GOOGLE PIXEL N SAMSUNG S9, S9 PLUS.
SIMU PEKEE NO ACCESSORIES.
CALL 0693225605.
pixel gb 64! na 128, Android 12.
Simu nzuri sana jamani.
niungeni kijana wenu nisife njaa...
GPS TRACKING SYSTEM NI NINI
Ni mfumo ambao unawezesha chombo cha moto ambacho kimefungwa kifaa hicho kuweza kutoa taharifa mbalimbali kwa muhusika.
Mfano ---- Sehemu chombo kilipo
----...
Karibu ujipatie sandwich tamu kabisa kwa ajili ya nyumbani, sherehe, harusi na kazini. Tunachukua orders ya mapishi pia kwa ajili ya snacks za aina zote.
Matatizo Yako Yote Ya Maji Tuachie Sisi | [emoji97][emoji97][emoji97]
Tunaamini hata wewe unaweza kuondokana na adha ya kulipa bili kubwa ya maji, au kuepuka kero ya kukatika kwa maji mara kwa...
Hp laptop inauzwa. Laptop imetumika lakini bado ipo kwenye hali nzuri sana.
-> Kioo kina ukubwa wa inchi 15
-> RAM ni 4GB
-> Hard disk yake ni 500GB
-> CPU ni duo core ya 1.6Ghz
-> Kipengele chake...
Mi TV Box S inauzwa kwa bei chee. Hiki ni kifaa kinachoipa uwezo TV yako ambayo siyo smart TV kuwa smart TV na pia hata kama TV yako ni smart lakini haina android OS basi unahitaji kifaa hiki ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.