Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Habari ndugu wana jf, Nahitaji Quad Bike bajeti yangu 2M-2.5M iwe na cc 250 na kuendelea pia iwe manual
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ipo kipawa uwanja wa ndege price 400k haina tatizo lolote.
1 Reactions
17 Replies
576 Views
Nataka kununua pikipiki aina tajwa hapo juu...ambaye yyt anauza pkpikp anipm chap kufikia kesho tufanye biashara ...ofa yangu ni 1.4
0 Reactions
2 Replies
769 Views
SABABU YA NYUMBA KUUNGUA KWA TATIZO LA UMEME NA UTATUZI WAKE: Napenda kuwakaribisha katika majadiliano ya tatizo hili ambalo limekuwa likisababisha majanga makubwa sana hapa kwetu Tanzania...
5 Reactions
5 Replies
4K Views
From China to Tanzania. Pata les wig kwa bei rahisi kabisa. Hii elfu 30,000/= zimebaki Pisi 10. Linaosheka na kusetika,Unaweza ukabadilisha na rangi pia. Hii elfu 35,000/= zimebaki Pisi 8...
0 Reactions
12 Replies
9K Views
[emoji2769]Ngazi Ya Kupanda Kiuchumi Ipo Kigamboni [emoji2769]Hakikaa Hata Wewe Unaweza 143000 TU Kila Mwezi. [emoji2769]Kamwe Usiruhusu Mazingira Yanayokuzunguka Kuzuia Ukuwaji Wako [emoji2769]...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habarini Wakubwa Naomba kuuliza bei za pempass za yami yam jumla na rejareja kwa mikoa mbali mbali Dar es salaam pia naomba kujua bei Natanguliza shukrani Kuna deal kubwa linakuja
1 Reactions
0 Replies
608 Views
Nahitaji delli kwa ajili yakuhifadhia vitu baridi kama ice cream...barafu kwa mwenye nalo anaweza kunicheki PM
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Attention Huduma ya free Wi-Fi installation bado IPO kwaajiri ya matumizi ya ofisini au nyumbani kwa mtandao wenye super kasi WA vodacom. Huduma zikiwemo free antenna, free wireless router, free...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
2002 Toyota Rav 4 · Suv · Rav4 special edition England version Engine 2Az ni mpya imebadilishwa toka 1Az 220km/h Sunroof available Full documentation ,arusha 9.8million Whatsapp / call +255655402364
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu nahitaji kiwanja. Location: Sehemu yoyote kuanzia Kimara mpaka Kibamba. Bajeti : 3M. Tuwasiliane. ======== Wakuu nimepata kiwanja, asanteni sana kwa ushirikiano. Naanza kuchanga za...
2 Reactions
54 Replies
6K Views
Toyota Ist Reg# DL Y.O.M 2004 Mileages 81004km Engine 2NZ Cc 1290 Full Ac Sports rims & good tyres With music systems All duties and tax payed Price: 8milion Exchange with car + cash ALLOWED...
3 Reactions
219 Replies
19K Views
Habari wadau, Nina madini aina ya Opal (Milky white opal) (angalia attachment). Kwa anayejua soko lake anisaidie taarifa, niko Dar. 0718174415
0 Reactions
2 Replies
967 Views
Bio digestion system ni mfumo wa unasaidia kumeng'enya kinyesi chote kinachoingia kwenye shimo, ni mfumo unaofanya infiltration ndani ya ardhi (unaruhusu maji kupotea ndani ya ardhi kutegemea na...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza simu yangu aina ya iPhone 7 yenye Gb 128 Battery Health 100% FingurePrint[emoji106][emoji736] Iko clean no scratches at all[emoji91] Haina kipengelee chochoteee Karibuni Price 330k
0 Reactions
2 Replies
868 Views
MAFUNZO! MAFUNZO! MAFUNZO 📚Pata darasa la namna ya kutengeneza website from the scratch kabsa hata kama hauna programming knowledge cha msingi na sekondari uwe na sifa zifuatazo 🔰Uwe na...
0 Reactions
0 Replies
563 Views
Habarini wakuu, Poleni na majukumu yenu ya kila siku Kama kichwa kinavojieleza tunauza sabuni za magadi za Kigoma kwa bei Ndogo kabisa ya Tsh 1,000 kwa mche.i 👇👇👇 Karibu tukuhudumie.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nahitaji mwenyeji mkulima wa mazao biashara na chakula morogoro tushirikiane kulima pamoja. Mimi sio mwenyeji wa mkoa wa morogoro na sijawah kulima morogoro.
0 Reactions
2 Replies
491 Views
Ipo pugu kona Ina mzunguko wa mita za mraba 25/20. Ina vyumba vya kulala 5 ikiwemo master 1. Mabafu na vyoo 4 . Sitting room, Dinning, jiko na store. Iko fully furnished nusu tiles na sakafu ya...
1 Reactions
2 Replies
642 Views
Je wajua kuogelea kunaboresha afya na ni ujuzi mzuri maishani pia ni burudani , Karibu msajili mwanao kwenye darasa la kuogelea kipindi iki cha likizo darasa litaanza tarehe 30july-9Sep Location...
0 Reactions
3 Replies
892 Views
Back
Top Bottom