Habari wakuu
Kwa wakazi wa DAR ES SALAAM. Nauza nyama ya ng'ombe kwa kupokea oda kuanzia kilo 10.
Delivery free mpaka kwa mteja. Malipo. mpaka mzigo unapofika kwa mteja
Bei ni 7000 kwa kilo...
Wakuu mmebarikiwa sana na Mwenyezi Mungu.
Nimeokota sarafu yenye tundu KATIKATI imeandikwa EAST AFRICA & UGANDA PROTECTORATES ( ONE CENT )
SHIDA YANGU JE HII KITU INA THAMANI YOYOTE KWASASA MAANA...
Wakuu katika jitihada za kusaka tonge nimeona nijaribu hii biashara ya Massage . JF kama nyumbani nimeona niwasogezee huduma hii pia.
Tunatoa huduma za massage za aina mbalimbali kama full body...
Habari wadau, sasa tunawaletea brand mpya ya matairi ya yokohama na luxman baada ya kuuza sana matairi ya bridgestone.
Yokohama ni matairi imara na origino kutoka japan. Tunauza kwa bei...
Habari
Kwa majina naitwa msafiri juma ni mtengenezaji wa mifumo mablimbali ya computer
Leo hii nawalea mfumo wa dukani amabou unaweza kutumika popote bila shida
Unafanida nying saana kwa...
Habari. Kama unaitaji pikipiki used za aina yoyote na kwa Bei unayoitaka tutakupatia tunapikipiki za aina zote. Tembelea Instagram @saantz_pikipiki_used
Tupigie simu namba 0684998047 tukuhudumie...
Habari wana Jf
Fridge Von linauzwa
Bei: Tshs 450,000/=
Lipo Gongo la mboto
Lina mwaka mmoja tangu lilinunuliwe
Halijawahi kutengenezwa wala kujazwa gesi
0689 150 968
0625 557 395
Nawaomba ndugu kwa mara nyingine baada kukosa mwanzo
Kwa nwenye PASI, JAGI ZA UMEME, BLENDER, heater na vifa vingine pia mfano wake mbovu natengeneza , nakufata hadi unapoishi bei haipungui...
Habari wadau.
Nani anajua vizuri hizi airpods pro copy. Naona kila anaeuza zake zina utofauti tofauti. Sasa nashindwa kujua ipi ni bora kwa sasa.
Naombeni ushauri wenu
Nyumba Ina vyumba 4 vya kulala kimoja master jiko la ndani na nje, mabanda ya uwani mabanda ya Kuku,kisima Cha maji,na eneo la wazi,unaweza hata kujenga nyumba nyingine, karibu Kwa mazungumzo...
Habari Zenu Wakuu.
Mimi ni Kijana wa Kiume Mwenye uzoefu wa miaka mitano(5) kwenye kupika na Ninaeamini Kwenye kufanya kazi kwa bidii na Pia kutekeleza Jukumu unalopewa kwa wakati Sahihi...
Habari wakuu nahama nauza vifuatavyo
Godoro inch 8 bei 140,000/-
Jiko dogo la gesi ( linagesi ilijazwa wiki moja iliyopita) 25,000/-
Feni 60Watts bei 25,000/-
Tray ya vyombo ngazi nne bei 10,000/-...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.