WANA JF NATAFUTA PLOT YA KUNUNUA(KUJANGA KAJUMBA) IWE MAENEO YA MBWENI, BOKO, UPANDE WA BAHARINI BUT HATA LAKINI KUSIWE KABISA NA BAHARINI YAANI PAWE TU NA VIEW YA BAHARI HATA KAMA NIKIWEKA HAPO...
Kiwanja chenye ukubwa wa 800 square metre (40m x 20m) ambacho kipo: BLOCK F; TEGETA NAMANGA na pia kina HATI ya miaka 99 kinauzwa.
Document zote zipo, utaruhusiwa kukagua hati, kukiona na...
Several units of houses are available for sale at Kigamboni at very competitive prices within the areas demarcated for residential purposes namely KISOTA and GEZAULOLE. There are 47 semi detached...
WanaJF,
Kuna nyumba mbili zauzwa jijini DSM eneo la kipunguni-mashariki jirani ya kitunda kama ifuatavyo:-
1. NYUMBA YA KWANZA
Ina vyumba 3 vya kulala, jiko, dinning, sitting rum, veranda...
Wadau katika kupitapita kwangu nimekuta shamba kubwa lipatalo acre 1000(443HA) linauzwa
Shamba hili lipo eneo la Mavulu karibu na Ngerengere na ni kilometa 14 kutoka barabara kuu ya Dar-Morogoro...
Ninazo DELL OPTIPLEX 210L Tower Desktops, ziko dar. Screen ni Flat (17''), Processor Intel Pentium 4 n series 3.6GHZ, 512 DDR2 RAM, 80GB HDD. Price ni laki nne na nusu tu. Piga simu...
Wana JF, mwana jamii mwenzenu natafuta kiwanja maeneo hayo niliyo yataja hapo juu includes Bunju.
Tafadhari nitumie msg kupitia inbox yangu kwamba kiwanja kiko wapi, kina ukubwa gani.
Hints...
Wanajamii wenzangu kiwanja kinauzwa NUSU HEKA kipo MBEZI MAKABE ni kilometer 5 kutoka MBEZI MWISHO kinaunzwa 5.5 milioni kwa maelezo zaid wasiliana nasi kwa 0757-548554 wote mnakaribishwa
If anyone stops u n asks if u r interested in some perfume n hands u paper 2 smell, DON'T. Its a new scam, da paper is laced wit drugs,u pass out so they can rob u,or worse. Pls 4ward 2 all...
Kiwanja chenye ukubwa wa heka moja na nusu,kuna nyumba yenye vyumba vitatu selfcontainer, imefika kwenye lenta, iko maeneo ya boma moshi, mita 50 kutoka barabara ya moshi -arusha,kinauzwa kwa bei...
Kama kuna mtu jamani hapa JF anajishughulisha na mambo ya filamu, kuna idea na script za filamu kali sana zinauzwa na kwamba mtunzi yupo tayari kushiri na ukiziona utakubali mwenyewe lazima zitoke...
Any one with Radio Station, i am doing Radio Production that includes Radio Programming (Mastering new schedules by considering compentence activities) We also train staffs about radio...
Wana forum ninatafuta nyumba nzima yenye usalama mzuri maeneo ya sinza,mwenge,kinondoni,mikocheni,kijitonyama au kawe.Naoba mwenye taarifa anisaidie haraka.
wakuu nasikitika kutangaza kifo cha mke wa staff wangu kilichotokea temeke hospital jana ucku marehemu alikuwa anaitwa priska kwa kweli kimeniuma kwani wametoka kufunga ndoa mwaka jana hawana ata...
FOR ALL TRANSLATION SERVICES, ENGLISH TO SWAHILI OR SWAHILI TO ENGLISH. INCLUDING MANUALS, TRANSCRIPTS, SCRIPTS, SUBTITLES, PROOFREADING, LESSONS HANDOUTS, BOOKS, REPORTS ETC., ETC., CONTACT US...