Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

Two bedrooms (one ensuite), dinning, sitting room, kitchen, Garden, fully furnished, Fully AC, balcons. Rent is $ 1300 per month. Call +255784225000 or to view other properties...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu Wana JF Naomba msaada wa kupata contacts za Mh. Prof. Anna Tibaijuka, nataka kuwasiliana nae anipe appointment ya kuonana naye ofisini kwake. Niko kwenye harakati za kumsaidia mzee mmoja...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Iko Mbezi beach imepaki ,ilkuwa inabeba maji ya africa iringa inapeleka mbeya,ina hali nzuri sana Piga 0762 839481
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Haya wana JF na hiyo tena gari nauza aina Subaru Forester Year 1999, Km 105,000, 2.0cc, 4WD, Automatic, Turbocharge, good condition, small scruch and dent, kutoka Japan ilikua na KM88,000 so...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
1997 auto red 110 Ipo katika hali nzuri. Bei yake ni sh 8.5mil. karibuni. 9=0784225000
0 Reactions
0 Replies
3K Views
  • Closed
plz delete this thread...
0 Reactions
1 Replies
989 Views
NDUGU WANAJAMII NA WADAU WOTE KWA UJUMLA,NAUZA GARI YANGU TOYOTA MARK 11 BALOON IKO KWENYE PICHA HAPA. BEI Sh; MILION TANO (5,000,000/=) SPECIFICATION; Toyota mark 11 baloon Manufactured year...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Wadau naulizia wana JF wanaoish Congo kinshasa nategemea kuwa mitaa ya uvira, baraka na kalemie.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau kwa yeyote mwenye kuhitaji laptop kuanzia moja na kuendelea, hesabu tatizo lako limeisha. Laptops mpya na nzuri zimeingia kutoka UK. Specifications zake ni kama ifuatavyo:- Model : HP...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wana JF habari? Naombeni wajemeni mnisaidie nimpate rafiki yangu Bwana David Kupaza. Nilisoma nae shule ya sekondari Usagara Tanga kuanzia mwaka 1995-1998. Baadae alijiunga high level na shule...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hiace imewasili DSM tarehe 6 Januari 2010, inaweza kutumika kama children bus au Daladala. Ninzuri sana kama inavyoonekana kwenye Picha. Inatumia diesel na ni ya 1997. Kwa mawasiliano nitwangie...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
mwenye vits tuwasiliane nina mil3 tu......
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Ngugu wanajamii wenzangu, Ninaombeni msaada wenu kunipa taarifa za kuweza kumpata dada Zenobia Marcel Mtenga, jina la kusomea au Serena Mtenga (jina halisi). Huyu Dada anotoka Rombo Sijui sehemu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nahitaji mkopo wa masharti nafuu sana wa shilling million Kumi. sina Fixed assets kama collateral ila nalipwa mshahara wa 1.5 M per month net. I want to open a very small business opportunity to...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF habari? Naombeni wajemeni mnisaidie nimpate rafiki yangu Bwana David Kupaza. Nilisoma nae shule ya sekondari Usagara Tanga kuanzia mwaka 1995-1998. Baadae alijiunga high level na shule...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MWENYE TOYOTA HILUZ TAFADHALI NaTAFUTA 2.5 DOUBLE CABIN MWENYE NAYO TAFADHALI
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakubwa heshima mbele mwenye contena 20 ft la kuuza tafadhari ni PM
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Madirisha za KISASA. Haysumbuwi na KUTU, Unaweza ku osha na MAJI. Pia ni SOUND PROOF klk ALUMINIUM.Bora zaidi klk. ALUMINIUM na MBAO. Rangi sipo NYAWPE na RANGI ya MBAO. Tunafiti mahali popote...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Wana JF Nauza Gari aina 2002 Land Rover Freelander Year / Month 2002 Odometer 90,000 km, Displacement 2,500 cc, Steering Right, Transmission Automatic, Fuel Gasoline/Petrol, Model code GF-LN25...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ebu mtaalam mmoja anisaidie. Ninauziwa kifaa cha kuumulia mikate (proofer) hapa USA. Kwa umeme wa kitanzania wa 220v-240V mashine hii ya 110v-208v itafanya kazi?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…