Habarini Ndugu zangu wa JF!
Naombeni msaada wa kujua gharama za kusafirisha mzingo usiozidi kg 2 kwa kutumia basi kutoka daresalam kwenda mikoani!
Kutoka Dsm kwenda Arusha, Kilimanjaro, Morogoro...
Make : Toyota
Model : Crown Athlete (CBA-GRS180)
Mileage : 54,750km
Engine size: 2,500cc
Gasoline : Petrol
Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. )
Transmission : Automatic
M/Year : 2004...
Make : Toyota
Model : Crown (GRS180)
Mileage : 79,833km
Engine size: 2,490cc (4GR)
Gasoline : Petrol
Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. )
Transmission : Automatic
Drive :
M/Year ...
Tunauza mashine za photocopy used pamoja na vifaa vingine vya ofisi zilizo katika hali nzuri na ubora..spea zake zipo ..toner pia upo ..na tunatoa warranty ya siku 30,Bei zetu zinatofautina na...
Karibu nikuzie laptop na computer aina zote kama:
-HP
-DELL
-LENOVO
-APPLE
-FUJITSU
-ALIENWARE
-SAMSUNG n.k
Accessories aina zote zinapatikana kama:
-RAM (1gb 2gb 4gb 8g)
-Hard disk...
Karibu Africa rise up company tukupatie vitabu vya risiti na invoice kwa Tsh 7,000-A5
na Tsh 14,000-A4
Tunapatikana Arusha Mianzini.
tupigie namba: 0788 429756
0752...
USD LAKI 800,000/
GHOROFA INAUZWA UPANGA
SQM 1000
UPANGA MTAA WA MAZENGO NYUMBA YA VYUMBA VINNE VYOTE MASTER SERVANT QUOTER .KITCHEN NA SEHEMU YA KULA NYAMA CHOMA INAUZWA KWA DOLA 800,000/= KUNA...
Nyumba ya vyumba vinne (self contained) inahitajika haraka.
Sifa:
1. Iwe jiji Mwanza (Ilemela na Nyamagana)
2. Hali nzuri
3. Usalama/fence
4. Inafikika bila changamoto
5. Parking ya gari 2 na...
DF company ni wazalishaji wa matofali ya aina yote.
Pia huduma zetu tunatoa hata nnje ya mkoa wa Pwani.
Tunapatikana
Boko
Bunju
Zinga kwa Ahwazi
Zinga bagamoyo
$zinga kwa mtoro
&Kibaoni kiromo...
Mimi Ni Quantity Surveyor au mtaalamu wa gharama za ujenzi .
Tafadhali anayehitaji kujenga Kama tayari una ramani yako au utahitaji tu Nikuchoree na nikuandalie BOQ yaan makadirio ya materials...
Habari wadau. Nahitaji kupanda michongoma kama fensi kuzunguka eneo langu la kama ekari moja na nusu hivi.
Eneo liko mlandizi kama kuna mtu ana mbegu au miche naomba tuwasuliane pia naomba maoni...
Hizi Ni Nguo Ambazo Zimekosekana Kwenye Kabati Lako!
Jipatie T-shirts Kali Za Mtumba Grade One
Zenye Quality Ya Uhakika kabisa Kutoka
Kwetu Kwa 8,000(Fixed) Tu
Tupigie/WhatsApp/Telegram/SMS...
Habarini wakuu wote kwa ujumla,
Napenda kuwafahamisha wadau wote ambao mmekua mkitafuta au kuwaza kupata kiwanja kizuri Tegeta,Mivumoni Eneo la Umoja Road.
Kiwanja kinauzwa .
Ukubwa Sqm 2000...
Wadau heshima kwenu wakuu!
Naulizia bei ya CHUMBA Cha KUPANGA kwa Geita mjini. Self bei gani na single bei gani?
Nimeona niulize kwanza kwa wadau wangu humu kabla ya kuwaona wapigaji.
MABANDA YA KUKU YA KISASA
Kazi Ya Kutengenezea Mabanda Ya Kuku Inaendelea Hapa Ofisini Kwetu Mbezi Ya Kimara (Karibu na Stendi Ya Magufuli)
Bei za Mabanda; (Ufundi na Mateials) Wewe unakuja...
Kama unahitaji nyumba ya kupanga mkolani Mwanza hujachelewa.
Ni nyumba yenye chumba kimoja cha kulala(Master) na sebule(Ipo ndani ya Geti), vyumba ni vikubwa, unalipia 120,000 kwa mwezi(kuanzia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.