Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

Habari JF, Promotion kabambe ya Crank Box inaendelea. Crank Box ni jenereta ya ndogo mkono yenye uwezo wa kuwasha taa 3 aina ya LED. Faida zake ni nyingi. Haitumii mafuta ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
WWW.UADILIFU.BLOGSPOT.COM Wakati natafuta tafuta Blog za Kudumisha maadili nimekutana na hii blogu Mpya www.uadilifu.blogspot.com Imenivutia kwa makala zake zenye nia ya kujenga kizazi chema...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Fanya kazi mahali popote, kuwa mjasiliamali wa Kimataifa na Umiliki maisha yako mwenyewe, bila kuacha kazi au shughuli yako ya sasa! Tunatoa mafunzo, tutakusaidia na kukuongoza kufikia malengo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
FREMU YA BIASAHRA INAPANGISHWA IPO ENEO LA CHANGOME KATIKATI YA MADUKA MAWILI NA KITUO CHA BASI CHA BORA. INAFAA KWA OFISI, DUKA LA VIPODOZI, DUKA LA CHAKULA, DUKA LA VIFAA VYA UJENZI /NK. BEI YA...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana jf kuna nyumba inauzwa ipo Magomeni Kagera -DSM ina vyumba 9,Inafaa kuwa Hosteli, Guest,Godown,Kuishi 3 Familia,Kiwanda Kidogo cha Printing,Kusaga na Kupaki Nafaka Etc. Mita 100 kutoka...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tunatengeneza milango ya aina mbali mbali kwa kutumia mninga mkongo na mvule bei zinatofautiana kulingana na aina ya mlango bei zina range Tsh 250,000-300,000 kwa mlango mmoja.finishing yetu ni...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Natarajia kusafiri kwenda ughaibuni kwa miezi 3 hivi, nahitaji insurance kunicover kwa muda huo. Mwenye kujua naomba anisaidie wapi naweza kupata travel insurance.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Watumiaji wa email kupitia http://www.hotmail.com, kuna watu matapeli ambao wanatuma jumbe za kukutaadharisha kuwa kuna matatizo katika anuani pepe yako na wanakutaka utume maelezo yako binafsi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nauza compactor mashine 2 zina engine ya HONDA kwa maulzio zaidi piga namba hii 255784280551
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hellow to members of JF
0 Reactions
0 Replies
791 Views
Nilikuwa safarini Tabora kwa ajili ya kupiga kura. Ni uchaguzi pekee nilioshiriki tangu mwaka 1995 ambapo kura yangu nilimpigia Mrema pale Ubungo; mwaka huu nimempigia Slaa. Kama ambavyo mwaka...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana JF ninahitaji kupata External Hard drive 320GB au 500GB. Mwenye access nayo naomba anijulishe nitaipataje na kwa bei gani. Location yangu kwa sasa ni Dar es salaam.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
ninauza kiwanja madale kwa karibu na kwa kawawa kimezungushiwa michongoma ukubwa ni robo heka na kinafikika kiko tambarare bei ni milioni 5.5 na hakuna dalali mimi ndo mmiliki nauza ili nipate ada...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wana jf kuna nyumba inauzwa ipo kimara mwisho ina vyumba vitatu, choo, bafu, sitting room, dinning room, kitchen na ina eneo kubwa sana kuweza kujenga hata nyumba nyingine. Mita 500 kutoka...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wanajamii nahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya sinza, mwenge, kijitonyama au kinondoni. Kodi isizidi laki mbili na nusu kwa mwezi. wasiliana nami 0713775173 au 0757818564
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Roller compactor 3000kg (3TONNES) Bomag JCB beaver concrete mixture Lister Peter Plate compactor of different sizes(Honda & Robin) Upright rammer used in uk see attachments for...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Pikipiki inahitajika Specifications: 150-200cc Bei isizidi 2,000,000/=
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Kama kuna mtu anauza gari aina ya Corolla 110 au ana jamaa anayeuza hiyo gari tafadhali tuwasiliane. Tafadhali nitumie pm hapa hapa au nipatie namba yako kisha tuzungumze biashara. Hii ni kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari wana JF? naomba mwenye kufahamu ni chuo gani au mtu gani naweza kwenda na kujifunza kupiga kinanda? imekuwa interest yangu mda mrefu but sijui wapi ntapata. pia ningefurahi kama utanitajia...
0 Reactions
4 Replies
8K Views
Salamu kwenu wakazi na wafanya biashara wa Mbeya.. Je unasumbuliwa na vifaa vyako ofisini kama vile Computer, photocopier, printer na kadhalika.. Wasiliana nasi sasa kwa huduma zifuataza...
0 Reactions
0 Replies
925 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…