Napenda kufahamu nitawapata wapi watu au kampuni inayojihusisha na kuweka nembo pamoja na maandishi kwenye vifungashio (packages) kama viroba na mifuko mingine. Naomba mnifahamishe
Nimepokea taarifa zinazosema kuwa,
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa "Tanzania Chamber of Commerce, Industry & Agriculture" (TCCIA) Bwana ELVIS A. MUSIBA amefariki dunia alfajiri ya...
Dell D630 Model, Slightly used about 8months, sell for 1,200,000/= the package includes 17" TFT screen,
Docking station and Keyboard and mouse, and 320GB external Drive
The sell is due to the...
Wakuu heshima zenu....nina hizo generators mpya zakutosha kusuply popote, hizo generators mara nyingi zinatumiwa na telecom companies kwenye minara ya simu unaweza ziona huko, zina 20kva kwa 10m...
Habari wadau wa JF.
Ninahitaji gari ndogo (saloon) ya kutembelea. Sina uchaguzi sana maana ninahitaji bei isiyozidi milioni nne (4,000,000/=). Pia ingekuwa corolla itakuwa vizuri zaidi.
Kama...
WanaJF naomba msaada kwa mwenye PC software za huawei C 3000 nina shida nayo maana CD yake haisomwi na CD ROM yangu baada ya kupata scratches, tafadhali nisaidieni ili niweze kutumia computer...
A/a kwa yoyote yule mwenye kutaka kununua nyumba zanzibar sehemu mombasa nyuma ya air-port ni sehemu za ramani na nyuma zote jirani ni zakileo ninyumba ya vumba 3 includi master rm, vyoo 2,kumbi...
Hello, tunatoa huduma ya kupanda miti; kuanzia kuchimba mashimo ya miche, kutia udongo wenye rutuba kwenye shimo;mbolea, kumwagilia maji mpaka pale mti utakaposhikamana na udongo.
Gharama zetu ni...
Habari wana forum !
Je ungependa kutengeneza website ya familia,biashara,charity au organization yako kwa bei poa-(tshs150000-upward ?)
wasiliana na sisi kwa maswali.Maswali yatajibiwa haraka...
Are you looking a way to increasing customers via your website? is your website is too much slow? are you looking for a fatest website ? here we have all your answers.
please feel free to check...