WAKAZI waishio mabondeni wamepuuza agizo la Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Evance Balama la kuwataka wakazi hao waondeke maeneo hayo kwa kuwaepusha na madhara ya mvua zinazotarajiwa kuanza...
Ndugu wana JF kulala mahali pazuri ni jambo jema kamata kitanda kwa bei ya punguzo vimebaki vitanda vitatu tu kwa bei ya 250,000 tu kwa kila kimoja.Wasiliana kwa akamanyusi@yahoo.co.uk au 0713876210
Toyota Mark II,GX100,VVT-I Engine, 2000 Model,cc 2000,imetembea japan km 88,000. bei Milioni 9,mazungumzo yako kidogo,imelipiwa ushuru na imesajiliwa, Engine ni sawa na cresta gx100 new model ama...
Mimi ni mjasiriamali mdogo kwa sasa ninahitaji kufungasha bidhaa zangu kwa vifungashio vya kisasa (export quality) na kuuza bidhaa zangu kwenye supermarkert au kusafirisha kwenda nje naomba kama...
Jinsi ya KUPAISHA (upload) picha JF - Video
http://www.youtube.com/watch?v=0se1Ymoe29g
Warning: Nudity / Porn:
Please remember that this board is a PUBLIC forum. There are 12 year's old members...
WAKUU WA JF naomba msaada wa key Pruduct ya DVD PHOTO SLIDE SHOW PROFFESIONAL nime Download kwenye Google nimepata ya trial ya mwezi sasa imekwisha wameniambia ninunuwe sasa naomba msaada kama...
Mark II GR going at a very affordable price ... Only 4.5 M
Gari inaita sana, (Angalia picha hapo chini) imekuwa ikitumiwa kwa kwenda ofisini na kurudi.
Other Particulars:
Year: 1992...
Waungwana,poleni na kazi!! Nina swali nahitaji msaada!! Ningependa kufahamu about kampuni zinazo-deal na namba za simu zinazotumika zaidi kwa masuala ya bahati nasibu na mengine sawa na hayo. am...
Jamani naomba msaada kwa wale wanaijua Mwanza natafuta kiwanja Mwanza mjini ni sehemu gani poa, na unaweza kuilinganisha na wapi kwa Dar au Arusha?
Asante kwa watakao kuwa tayari kuchangia...
Laptop HP
Compact nx9030
Intel (R) Pentium (R) M
Processor 1.60GHz
590MHz, 224 MB of RAM
system
Microsoft Window XP
Professiona
Version 2002
Service Pack 2
Inauzwa 550,000/- pungufu unaongea...
Wakuu nauza starlet carat ya mwaka 1998 kutoka Japan imetembea klm 80,000.
eng. capacity 1300, imelipiwa ushuru na gharama nyingine.
nimetumia peke yangu for two years.
Anayehitaji...
LED Lighting Emitting Diode
Natafuta mtaalam nyumbani wa kunitengenezea LED Name Display. Nahitaji name diplay 2 zenye ukubwa wa kama 60 x 12 (inches).
Katika ku-google kwangu nimekutana na...
Kuna jirani yangu hapa anauza hii gari, nikadhani pengine yaweza kuwa ni dili nzuri kwa wana JF.
Mwaka: 2000
Imeingia Bongo: July 2009
Odometer: 86,000km
1500cc
Bei: 7.5m (non-negotiable)...