Wana JF,wizara ya kilimo ndio hiyooooooooo sijui tutegemee nini,mi ninacho ona watanzania tunajua kutengeneza Majina mazuri,hicho kilimo kwanza kitakuwepo kweli au maneno.hebu semeni juu ya hili.
Wadau heshima mbele!mimi ni mteja wa TIGO wa long time!sasa nina tatizo kuna hizi mesej zao za promotion,kuna kijana wangu ali subscribe sasa zimekua kero kila siku zinakuja 5 na kila moja ni Tshs...
Mkuu Invisible na wataalam wengine wa IT
Nimekuwa napigana vita na PC yangu kwa muda sasa na nataka kuweka security kubwa zaidi maana nimechoka na attacks za kila mara.
Mwanzoni nilikua...
Kwa mliopo mjini nadhani mnafahamu kuhusu msiba uliomkumba huyu balozi wetu wa bintiye na kwa taarifa tu ni kuwa mazishi yamefanyika leo leo...inshaalah nitawaupdate kuhusu taarifa za KHITMA...
Dear ONE Member,(Kiuyajibu)
Throughout Africa, there is notable progress being made toward reaching the Millennium Development Goals, from halving extreme poverty to stopping the spread of...
Nyumba inapangishwa iko Tegeta -Nyaishozi- karibu mita 500 tu kutoka barabara ya lami -bagamoyo road (upande wa beach). Ina vyumba viwili vya kulala-mojawapo ni selfcontained, ina sebule, dining...
15th July 2009
Mkulima mmoja wa kijiji cha Mapango Wilayani Kondoa, amejeruhiwa vibaya baada ya punda wake kumbwaga chini.
Sasa mtu huyo aitwaye Ramia Husseni, 29, amelazwa...
Ziko Mwananyamala A, DSM. Ni za kisasa na hadhi ya juu kabisa na vitu vifuatavyo;
Electrical fence, kwa ujumla mfumo wa kisasa wa ulinzi, A/C full kwenye "master" na sebuleni, vyumba 3 vyakulala...
Wadau niko kimya sana
ila narudi na mambo mapya
Gari inauzwa VX nzima inatembea ni mpya bei milioni 28. haijaenda bodi hata mara moja, na ukitaka nakufuata kama mteja kweli uione ni ya Petrol...
Kwa muda mrefu sijaweka post yoyote hapa kwa sababu zisizozuilika ingawa huwa napitia haraka haraka topiki mbalimbali zinazoongelewa. Hata hivyo, siku za mbeleni nitakuwa active tena hasa kwa vile...
Honda CRV (1997, Metalic Silver,in good condition, registered and comprehensive insurance on road in Dar, For Sale 12 million no bargain!) Kwa wenye nia ya kununua tafadhali tuwasiliane kwa email...