Hivi leo nimepokea taarifa za kusikitisha za mauti yaliyomkuta Ndugu Josephat Mossy a.k.a Dojo.
Marehem alikua mwanafunzi chuo cha St. Augustine Mwanza. Inasemekana aligongwa na gari siku ya...
Tafadhali kwa anayejua mahali ninakoweza kupata Mbegu nzuri ya Mbwa anifahamishe.
Namuhitaji sana hata kama nikipata wawili maana vibaka wananikera sana nyumbani kwangu, ila asiwe Mbwa koko.
VIWANJA VINAUZWA, VIPO MAENEO YA BUYUNI, MANISPAA YA ILALA, DAR ES SALAAM
VINAUKUBWA KAMA IFUATAVYO, 1. 1300 sq. meter ( low density), 2. 1100 sq meter na 3. 980 sq meter
Vyote ni maalumu kwa...
Namtafuta huyu dada.Mara ya mwisho alikuwa akisoma Eckenford Secondary School mjini Tanga (1993-6 kama sijakosea).Mwenye contact details zake naomba anipatie,au kuni-PM
Thanx in advance
4WD, manual, 5 doors, metalic grey, low mileage, serviced regularly by dealer DT DOBIE TANZANIA, 4 cylinder, petrol engine, Bei 25mil.
Ikiwa wewe hauhitaji kununua gari hii unamjua mtu anahitaji...
Nimetoka JF Ville Forest Reserve, nikapiga kona kwenye jengo la mahusiano Kufyoka na Ushauri- Nikakutana na haya...
- Na ninawaahidi wana-JF kwamba leo I am so happy kwamba nitakunywa mvinyo...
Nyumba ya kununua inahitajika iwe self contained 3 bedrooms, 1 master and 2 bedrooms.
Plus jiko, store, dining and sitting room.
Iwe na uwanja kutosha kupaki magari matatu
Iwe na maji na umeme...
Ina milango mitano, automatic. model ya mwaka 2000, imetembea km 74520, 1760cc,petrol injini, imeingia Tanzania 27/01/2009 ina rangi ya dhahabu, ina DVD MP 3 TV Screen yenye thamani ya USD 1500...
Nyumba inauzwa, self contained 3 bedrooms, 1 master and 2 bedrooms.
Plus jiko, store, dining and sitting room.
Iko Gongo la Mboto Ulongoni A
Bei Mil. 30 MAWASILIANO 0717 114409
IWE LOW AU MEDIUM DENSITY. IWE NEW KAWE ROAD,SALASALA AU MBEZI BEACH. ISIWE MBALI NA BARABARA ZA LAMI. PRICE MAXIMUM 50MILLION.
CONTACT
rakeyescarl@yahoo.ie
au 0788025746
Dr. Bismarck Mwansasu has passed away in Dar-es-Salaam. Dr. Mwansasu taught at University of DSM also Kivukoni College in the 70's. Later he was appointed as RDD in Arusha. He also co-wrote a book...
Asali safi toka misitu ya Tabora (Sikonge na Urambo) iliyolinwa na kuchakatwa kwa kufuata kanuni za usalama na ubora, isiyo na harufu ya moshi au chembechembe za masalia ya uchafu wowote ule...
Nyumba inauzwa, self contained 3 bedrooms, 1 master and 2 bedrooms.
Plus jiko, store, dining and sitting room.
Ina uwanja wa kukaa gari 4.
Ina maji ila umeme bado.
Iko Bunju B mita chache kutoka...
WanaJF,
Ninahitaji nyumba ya kupanga jijini Dar.
Maeneo:
Kinondoni, Sinza, Magomeni, Kijitonyama, Mwananyamala, Mwenge
Niko tayari kulipa at most TZS 300,000/= kwa mwezi.
Muda:
As early...
JIJI la Dar es Salaam litaingia kwenye giza nene Mei 31 mwaka huu wakati Shirika la Umeme nchini (Tanesco), litakapozima mitambo ya kuzalisha umeme wa gesi ya kampuni ya SONGAS.
Taarifa ya...
Kwa wale wapenzi wa Minada, kuna habari kwamba shirika la UNICEF watauza vitu vyao kwa MNADA, ofisini kwao, (Bibi Titi St/Al Hassan Mwinyi Road) siku ya Jumamosi 23-5-2009, asubuhi.
Jamani namtafuta Darlia Shayo alikuwa Miss Makutupola JKT 1992-3! Tulikuwa marafiki na alikuwa mdada wa shoka, Bellinda do worry namtafuta kwa a good cause ni miaka mingi imepita! Nadhani...