Jamani namtafuta huyu mdada aitwaye Faith Manyaki kama bado hajavalishwa pete na mtu. Ni rafiki yangu tu huyu wa zamani sana na tumepoteana miaka mingi mno. Tulisoma wote.
Waungwana kwa muda sasa natafuta video za Taifa Stars kwa yoyote aliyenazo au anajua wapi naweza kuzipata nitashukuru.
Ningependa kama zingekuwa ni HD lakini ata SD zitafaa.
Ahsanteni.
Karibuni Wote Hii Saturday 23rd of May (Memorial Weekend) ndani ya Chicago kwenye BBQ ya nguvu na Dance Party. Kama una swali lolote usisite kuwasiliana nami.
Re:Car for sale
Gari inauzwa Mitsubishi Pajero GDi
Milango 3;
Year-1998 ;
Colour-blue/silver
Bei mil. 8 (pungufu tunaongea).
contact: 0767 534203
Picha attached;
Mileage105969
Tangazo la maandamano
Jamani mie niko nyumbani lakini mliopo London ambao mtakwenda kwenye game na stoke city mnaombwa mjitokeze kwa wingi kwenye maandamano ya kumuunganga mkono Wenger ambaye...
nissan march ya mwaka 1993 manual ya milango mitano inakaribia 70000 km inauzwa bei 6m na maelewano yapo anaeihitaji aweasiliane na mimi kwa email yangu jkishoka@yahoo.com kwa maelewano na detail
Wana Jamvi kuna msela wangu tumepotezana muda nrefu and I have tried kutafuta contacts zake na mahali alipo but nimeshindwa, sasa JF imetapakaa duniani kote na yawezekana kabisa mshkaji akawa...
Registrant:
n/a
506 S. Flower Street
California, Los Angeles 90071
US
Domain name: ************
Administrative Contact:
utamu, the
506 S. Flower Street
California, Los Angeles 90071...
We need the following cars.We will be paying ONLY 100,000Tshs/Week
(7days) in Advance/Self Drive if you have 1 please PM me.
All the cars should be WHITE and in good condition,Its alright if...
Wakuu nimetumiwa hii ktk mail yangu. nimeona nipost hapa kwa walio dar waweze kujivinjari kama wakipata muda kuhudhuria.
Dear Madam/Sir,
Please find attached an invitation for the Film...
Dear ICT practitioners,
Tanzania Commission of Technology (COSTECH) in collaboration with IDRC
are planning for a "Pilot Regional Community Fiber Building Training
workshop" in East and West...
Wandugu natafuta nyumba maeneo ya Mikocheni/Msasani au Kawe..iwe na eneo kubwa la nje, nyumba ikiwa ndogo mathalani vyumba vitatu inatosha! isiwe ghorofa na sio ya kushea(samahani kwa kiswahili...
Wanajf,
Naomba kujua gharama za kuvuta umeme ndani ya Nyumba. Naomba mchanganuo wote yani Phases zote[zaidi three phase]. Na inachukua muda gani mpaka kupata huo umeme.
Pili, ningelipenda...
gari hii inauzwa
ni Toyota Sera
imetengenezwa mwaka 1996
cc 1498
manual transmission
very economical
affordable price..5m only
iko kwenye hali nzuri
tuwasiliane via pm ukihitaji