wakuu naomba msaada wenu kwenye hili!!je kuna mdau yeyote ambaye ana forms za mikopo za 09/10..nimekua nataabika kwa muda sasa kujaribu kudownload from their site ila imeshindikana and it's too...
Namtafuta dada mmoja hivi anaitwa Layla. Jina lake la mwisho nimelisahau. Huyu dada alisoma Shaaban Robert miaka ya mwanzoni ya tisini halafu akaja akaondoka kwenda Marekani.
Alikuwa anaishi...
Nilipotezana naye tangu mwaka 1993. Ningependa kuwasiliana naye. Nitashukuru kama kuna mtu anamfahamu huyu dada na akaniwezesha kuwasiliana naye. Alikuwa JKT Mlale, Ruvumba mwaka 1992/93 operation...
ATTENTION Classes Cancelled Friday, May 1 - Call 432-News (6397) for Updates
Suala la swine flu limebisha hodi mtaani kwetu.
Leo tumepata tangazo kuwa kuna case imegundulika hapa shuleni kwetu...
Wana JF na wadau wote, naomba mnisaidie ambaye anamfahamu na mwenye kuntact za dada ANNA KISANGA anitumie kwa email amani20001@live.com
Nawatafuta niliosoma nao mkwawa high school, dada Anna ni...
Kwa wapendwa wote
Soon my friend will be moving to Dar. We are looking for house to rent. It should be in secure area, 2 bedrooms or 1 room self contained. Iwe full furnished.
Nitashukuru kwa...
ONLY Registered members are requested to follow this!
JamiiForums.com uses WYSIWYG.
When posting messages to the forums or other members, there are three interface types available to you. The...
Tunahitaji web designer na developer kama uko tayari wasiliana nasi kwa njia ifutayo
simu +4531860936 ama kwa email: info@gmconsultz.com ama kwa njia ya PM
First come, First Served
We...
Kitabu Kipya Kwa wana siyasa
Hiki ni kitabu kipya kinachoelezea mchango wa wazalendo waliopigania uhuru.
Kitabu kinaeleza yale yaliyotendeka mwaka 1958 wakati TANU ilipoingia katika uchaguzi...
Kama kuna yeyote anahitaji vibuyu vya mapambo,ni vibuyu vikubwa vizuri kwa kupamba kwenye nyumba,mahoteli.
Unaweza kupamba kwa kuweka maua au kutumika kama lamp shield n.k,matumizi ni mengi ...
Tractor aina ya MF 135 pamoja na jembe inauzwa Tsh 9.6 m.Reconditioned UK ,halijutumiwa hapa. Lipo hali nzuri sana (see attachments).Tractor lipo zanzibar.
For more info.contact Said...
Oi!....Nahitaji msaada kama kuna mtu anajua ku-design website....uNLess otherwsie ningekuwa najua ninegtengeneza mwenyewe...pleasee
kama yupo please naona uniandikie basi PM............ ili...
Waungwana,
Kuna kampuni ya Tanzania ilitangaza kwamba inakaribia kuanza kutoa mikopo ya nyumba za bei nafuu na bei mbaya. Kama kuna yeyote anayejua namba zao za simu, web site au email address...
SED Adventures Tours & Safaris, a unique East Africa tour operator offers Luxury Safaris and holidays in Africa. We specialize in tailor-made Wildlife Safaris to Africa, Eco-Tourism, Mountain...
- Ninapenda kuwaarifu ndugu zangu wote hapa JF, kwamba kwa furaha kubwa sana mimi na ndugu zangu tuko katika matayarisho makubwa sana ya kumfanyia sherehe nzito sana mzazi baba yetu, siku ya...
MSAADA WA TAARIFA YA GENERATOR YA KUKODI
Naomba kama kuna yeyote anajua mahali ninapoweza kukodi generator anitaarifu tafadhali. Niko DSM na nahitaji generator kwa ajili ya kufanyia fitting ya...
MCB Supports Multi-Faith Call for Migrant Amnesty
17 April 2009
The Muslim Council of Britain (MCB) is supporting a multi-faith call for migrant amnesty and called upon thousands of its...
Kuna madaktari wawili walizama katika bwawa lililopo katika maporomoko ya maji pale Sanje Water falls- Kilombero siku ya Jumamosi (April 11th, 2009). Madaktari hao ni walimu katika chuo cha...
MSAADA WA TAARIFA YA GENERATOR YA KUKODI
Naomba kama kuna yeyote anajua mahali ninapoweza kukodi generator anitaarifu tafadhali. Niko DSM na nahitaji generator kwa ajili ya kufanyia fitting ya...