Heri ya mwaka mpya wakuu.
Chuma inauzwa imenyooka clean as new
Low millleage. 4wheel drive.
Everything is original.
Price: 52M (free to negotiate)
+255 77 6111 402
Natumai mko poa kabisa
PENDEZESHA NYUMBA YAKO KWA ALLUMINIUM
_natengeneza madirisha ya alluminiu
_milango ya alluminium & viooo
_partion za mahoficini & duka la dawa & hopitali
_vioo vya saloon...
Karibu Pemba, Karibu Furaha Lodge, katikati ya mji wa Chakechake, bed and breakfast, free WiFi, Self contained rooms, Satellite TVs na ukarimu ni jadi yetu. Wasiliana nasi 0765448065 & 06795099901
Habari zenu wana JF,
Kwa wale ambao mna shida na wafanyakazi wa kazi za ndani nimefungua ofisi.
Tuna huduma ya wafanyakazi wa kazi za ndani.
Wapo wanao weza kulala kwa mwajiri na wapo ambao...
Najua tupo humu tunaohitaji kuanza maisha so kwa yeyote anaehitaji kuanza maisha anicheki chapu nna siku mbili leo na kesho kufanya haya maamuzi nataka kubadilisha mkoa wa kwenda kuishi.
Chumba...
Nilikuwa na ofisi yangu ya Uwakala wa fedha kwa mitandao ya simu lakin bahati mbaya nimefulia na line zipo ila sizifanyii kazi.
Kiukweli sina mpango wa kuzitumia hizi line tena.
Kama unazihitaji...
Wana JF nina shamba la mitiki lipo kisarawe lina ukubwa wa hekari 14,lina miti ya mitiki ipatayo 8000, miti 200-250 kati ya hiyo ipo tayari kuvunwa.shida yangu ni kama ifuatavyo
1.Kama nitaweza...
Habari njema Matajiri Wawekezaji,
Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya programu ya NGUVU YA BUKU, ambapo tunajifunza na kufanya uwekezaji kwa hatua ndogo ndogo na kujenga utajiri kwa...
Habari zenu
Canon zoom lens 18mm-55mm lens f3.5-5.6 Inauzwa. Ni mpya haijatumika maana kwenye kamera yangu baada ya kununua nili switch kwenda kwenye prime lens
Bei sh 250,000.
Hii inatumika...
Wahandisi niambieni nini kimekosekana hapa?
Nb: tunafanya Underground Water survey kwa Tshs 250,000 kwa wakazi wa Dar Es salaam
Pia Tunachimba visima kwa ghalama nafuu kabisa
0689 150 968
0625...
Tv zenye hadhi ya kukaa ukutani kwasasa ni angalau inch 43 nakuendelea ila 55-75 zinavutia zaidi. Tusiharibu kuta bila sababu za msingi.
Haya wale wadau wa makobazi, misuli na tende nimesha...
Chuo Kikuu cha Kiislam Morogoro ndio chuo pekee nchini Chenye kutoa Shahada za Sharia (Sharia Law). Tuwapongeze kwa hilo. Tayari MUM kina Campus Zanzibar na punde kitafungua campus Rufiji, Kondoa...
Hi everyone,
I’ll be moving to Arusha from Dar es Salaam for work in the coffee industry and will need a place to stay for two months. I’m looking for a 1-bedroom furnished house that meets the...