Habar wakuu
Kuna ice cream mold nimeipenda ali express ya 30 holes.
Gharama yake ni nafuu Ni kama $60 katika store ya Ezzz store
Nimechat nao na nimewaomba shipping watumie silent ocean na...
Jipatie testimony face cream,kiboko ya chunusi,madoa ,makunyanzi,na inakupa mng'ao wa asili, utaipata kwa 25,000. Dodoma, mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa. Pia tunahitaji mawakala
Habari madalali wa Bongo, na wenye nyumba.
Nahitaji chumba cha kupanga cha bei Rahisi, Bei isizidi 50 na please sina hela ya miezi sita.
Ningependa maeneo ya kuanzia Tabata Shule hadi Segerea...
Tunauza kuku aina ya Kuroiler F1, tunapatikana Bunju A, kituo "kwa Baharia", jirani na Kituo cha Mafuta cha GUDAL.
Bei ni kuanzia 14,500-18,000..kutokana na uzito wa kuku. Bei ya jumla kuanzia...
Nyumba ina vyumba 3 vyote ni self
Size plot 600sqm
Usalama upo wa kutosha maana pia nyumba zimejengwa kwenye compound moja ila kila moja ina fence na geti lake
Bei 285m
Maongezi zaidi chek nami...
Mgeni kutoka Ubelgiji amevitumia chini ya miezi miwili na anaviuza kwasababu anahamia nchi nyingine.
1.Shelfu ya chuma- tsh100,000/=
2.Meza ya chuma ya jikoni-100,000/=
3.Mtungi wenye gesi...
Huyu jamaa anaitwa Exaud Molla yupo kigamboni asee huyu jomba ni hatari Kwa mageti,madirisha na parking za gari
Ana mtaji wa kutosha hizo ni baadhi ya kazi zake nimeona nishee nanyi
Kama hujasoma my previous thread about how to start a freelancing business popote pale ulipo bila experience wala mtaji wowote, basi pitia sasa maana nimeelezea everything concerning this...
Takwimu zinasikitisha sana linapokuja suala la wawekezaji wenye mafanikio makubwa kupitia uwekezaji kwenye viwanja na nyumba.
Si zaidi ya asilimia kumi ya wawekezaji wote waliojenga mafanikio...
Kama unahitaji dagaa wa Bukoba (Safi, Ya Jua Moja bila Mchanga) nicheki, kilo moja kwa tsh 5,000
Napokea oda kuanzia kilo 60 na kuendelea, muda wowote nicheki kwa namba yangu 0624200275
Natafuta chumba sebure na jiko kea 100000 hata ukiwa chumba na sebure iwe katika mazingira mazuri Kodi miezi mitatu iwe maeneo ya makumbusho,kinondoni,namanga,hata mwenge sio mbaya
Habari za muda huu,
Naomba Kwa anayejua machimbo ha vitambaa Kwa bei nzuri ya Jumla na vijora!
Vitambaa nataka nikauze nje ya mji na huwa Mita inakuwa 3,000 na 3,500 naomba anayejua wanapouza Kwa...
Fremu kama inavyoonekena ipo mbezi mwisho mitaa ya mbezi kwa Yusuf. Inafaa kwa biashara mbali mbali kama duka,ofisi,medical laboratory,dispensary,microfinance, nursery and daycare,tuition center...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.