Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Habari wana JF. Hongereni kwa mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhani. Tafadhali ningependa kujua bei za vijora kwa jumla Kariakoo vinauzwaje? Hizi ni gauni za kina dada wengi hupenda kuvaa nyumbani...
2 Reactions
4 Replies
5K Views
Wadau salamu kwenu. Naomba anayejua wapi wanauza chujio za maji au water purifiers ambazo zinaweza kusafisha maji ya chumvi kwa matumizi ya nyumbani
0 Reactions
1 Replies
981 Views
Samaki online ndio suluisho la wapenzi,waitaji wa samaki fresh maji chumvi. Wanauza samaki aina zote kwa bei nafuu na wanafanya delivery ndani ya dar na mkoani wanatuma. 0719438200/0711756654
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Subwoofer yenye Amplifier ndani -Inch 10' -Watts 1000 -Mdundo kama wote[emoji344][emoji344][emoji344] Kwa ajili ya Gari[emoji593] lako au Bajaji Zinapatikana Bei 100,000/= Delivery ipo Ukihitaji...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za wakati huu ndugu zangu! Naomba kuuliza kama kuna mtu yoyote anajua taasisi, shirikika au hata kamapuni ambayo inajishughulisha na ununuaji wa maeneo au hata nyumba kwa haraka. Kuna...
3 Reactions
33 Replies
4K Views
SHULE INAUZWA DODOMA. -Eneo lina Ukubwa wa Heka 15. -Bei ni Milioni 500 tu(500,000,000) unaweza kulipa kwa Awamu pia na Mazungumzo yapo. -Shule inaunzwa iko Dodoma Wilaya ya Chamwino Km 7 toka...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Godoro ni Comfy Limetumika kdg sana Muuzaji yupo Tiptop Manzese Dsm Contact 0654973754 Muuzaji ana hamia mkoani kesho Bei laki 3 vyote
0 Reactions
2 Replies
777 Views
Dalali_wa_ kuuza_ nyumba. NYUMBA_INAUZWA Chanika_Lubakaya _____________________________ NYUMBA INAVYUMBA VINNE VYA KULALA NA CHUMBA KIMOJA NI MASTER BEDROOM _____________________________ #...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Niuzie smart phone yenye viwango vinavyoendana na thamani ya 60000 NB usiniambie habari za kwenda dukani
2 Reactions
33 Replies
4K Views
Shamba linauzwa ni beach plot liko tanga sehem inaitwa AMBONI (mafuriko). Shamba lina ukubwa acre 2 1/2, shamba liko mazingira mazuri kuna umbali usiyo pungua kilometer 1 sea level kutoka...
0 Reactions
0 Replies
669 Views
Specifications RAM 02 GB 16 Imetumika miezi 5 tu. Mawasiliano 0784312904 Bei Ni 120,000/=
0 Reactions
4 Replies
549 Views
Wapedwa wadau napenda niwataarifu kuwa natafuta mtu mwenye mtaji wake wa kutosha company ya catering services ambayo inapatikana hapa DSM, imasajiriwa tangu mwaka 2017 mpka sasa ipo sokoni na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana Jf. Kama nilivyoeleza kwenye kichwa cha habari hapo juu, nauza mashine ya kusafishia taa za magari bei ni Tsh 150,000/= Haina tatizo lolote. Uzuri wa hii mashine imefanyiwa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nauza compressor ndogo na heavy duty . Una uwezo wa kutembea nayo ndani ya gari yako popote uendapo. Haswa wale wanaosafiri na magari yao binafsi hii mashine ni muhimu kwako. Ina uwezo wa kujaza...
2 Reactions
12 Replies
5K Views
Asilimia kubwa ya ajali za barabarani hutokea wakati wa usiku .. Hii ni kutokana na uoni hafifu unaosababishwa na miale ya mwanga wa vyombo vingine vya usafiri au matatizo ya mtu kwa na uoni...
0 Reactions
1 Replies
424 Views
Imekuja mashine maalumu ya kusafisha taa kwa teknolojia mpya ijulikanayo kama, XFOLIANT TECHNOLOGY...inayofanya taa yako ya gari kurudi katika mwonekano wake wa awali. Iko hivi hiyo mashine...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimejivuta sana kuandika hii post na mpaka namaliza kuandika line hii ya kwanza bado sijapata wazo sahihi ni wapi nianzie ili kitu ninachotaka kusema kieleweke. Tafadhari! kabla hujasitisha...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
LG 40inch tv mtumba hiyo picha kalii roho ya paka haiweki mistari wala picha haichezi Inasupport; HDMI 1&2 AV USB VGA Bei Tsh 395k 0692402211
0 Reactions
2 Replies
685 Views
Hamjambo waungwana, maboya ya kuweza ku-uphold mzigo wa kilo 10 kwenye maji fresh yanahitajika. Kama kuna mtu anajua wapi yanapatikana, tafadhali tuwasiliane private au hapa sebureni
1 Reactions
1 Replies
534 Views
Wapendwa. Siko hapa kwa ajili ya ku expose shida zangu, ila naomba msaada kwenu ndugu zangu. Ninauza hard disk ya 2TB ninahitaji sh. 200,000/- tu ili nilipie fremu ya biashara. Kudanga siwezi...
4 Reactions
45 Replies
3K Views
Back
Top Bottom