Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Nauza king'amuzi cha Azam TV na tv ya LG 32 inches iliyopasuka screen kama kuna mwenye screen au aitumie kama spare maana imetumika miez 5 tu. King'amuzi bila dish 80,000 Screen 100,000
0 Reactions
14 Replies
6K Views
BOXER KWA JINSIA ZOTE BEI NI 5000 tu MIKOANI PIA TUNATUMA0744206484
2 Reactions
2 Replies
539 Views
Nahitaji kupata masoko ya kuchukua hizi bidhaa kwa bei nafuu wanaofahamu mnisaidie mpambanaji mwenzenu au hâta kiwandani moja kwamoja
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Karibuni KELVIN BOOK STORE TZ @vitabudhahabu mjipatie vitabu kwa Bei kati ya 25,000 na 30,000. Punguzo ni kati ya 10% (Pc 3+) na 20% (Pc 10+) Also: 15,000 ( Pc 20+ ) for wholesale. NB: Vitabu...
1 Reactions
0 Replies
761 Views
Wadau wa majumba naombeni ushauri nahitaj shower mixer nzuri Je ni wapi naweza kupata kwa hapa Dsm at affordable price but quality
1 Reactions
18 Replies
3K Views
K.koo ni soko la Taifa,..kasi ya pesa na ukubwa wa uhitaji. Fremu za mbele along bara barani ndio zenye potential kubwa ya mauzo, lakini sio cheap, ni 1million, 1.5 million, 2 million etc..bado...
6 Reactions
80 Replies
8K Views
Wanabodi Mwenye kumjua yeyote anayeuza pickup ya Left Hand Drive tafadhali tuwasiliane.
0 Reactions
0 Replies
432 Views
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyo eleza. Naweza pata Gari hiyo kwa kuagiza kutoka Japan. Ikaja ikiwa vizuri kwa pesa hiyo. Msaada tafadhali Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
4 Reactions
3 Replies
2K Views
TANGAZO LA TUWAPISHE WAZEE WAHUDIMIWE KWANZA LIFANYIWE MABORESHO ILI LISILETE MIGOGOGORO Anaandika Robert Heriel. Jana nilikuwa moja ya Hospitali za hapa Jijini DSM, nikakuta tangazo limeandikwa...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Moja ya changamoto inayowasumbua wakulima wadogo, kati na wakubwa ni upatikanaji wa mbolea bora. Lakini bado hata zile zinazotumika kwa wingi ni zile ambazo mazao yanayopatikana kutokana nazo...
0 Reactions
0 Replies
873 Views
in good condition.new tyre.full documents.price 18m.call 0754 2735.
0 Reactions
8 Replies
692 Views
Mfumo wa biashara ya mitandao ni mfumo ambao unapendekezwa kufanywa katika karne hii ya 21, kwa sababu ni mfumo ambao umeisha tengenezwa na kampuni wewe kazi yako kubwa ni kununua kwenye mfumo...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Nimesoma vitabu vingi vya ujasiriamali mfano mmojawapo ni kitabu cha The cash flow quadrants, poor dad and Rich dad Niligundua kuwa bila kufanya uwekezaji huwezi ukawa na Uhuru wa pesa hata siku...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari Wanajamvi, Nauza simu yangu mwenyewe ni Samsung Galaxy Note 10+. Ina mwezi mmoja tangu niinunue, ina risiti niliyonunulia na boksi lake Bei ni laki 8.5, inapungua kidogo sana Kwa aliye...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Offer yangu ni 280,000/= Chapu kwa haraka njoo tufanye biashara
0 Reactions
7 Replies
1K Views
KWANINI BIASHARA YA MTANDAO? KWANINI UFANYE NA FOREVER LIVING PRODUCTS? BIASHARA YA MTANDAO NA UMUHIMU WAKE. Biashara ya mtandao ni mfumo wa kipekee kabisa wa biashara kuwahi kutokea. Kwani...
0 Reactions
43 Replies
11K Views
Famoco linauzwa bado ni zuri na linasajiri mitandao yote scanner yake inafanya kazi vizuri Bei ni tsh 80,000 ipo dar es salaam Kama utahitaji nitafute namba 0757807878 au 0654388979 WhatsApp pia...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Baada ya kuona wadau (USAWA) hela imekuwa ngumu, nimeshusha kwa kiwango cha rami mpaka 250K Karibuni
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Kuna 120000 hapa inatafutwa simu smartphone infinix kuanzia smart5 isiwe na tatizo lolote...iwe mali halali 0627474141. Iwe Dar au Lindi.
1 Reactions
8 Replies
817 Views
Back
Top Bottom