Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Maduka yetu yanapatikana jengo la stand kuu ya mabasi Moshi Mjini Room no M36 na M38. Tunatuma bidhaa zetu kwenye mikoa yote Tanzania pamoja na nchi jirani Mawasiliano Whatsapp 0757252165 Piga...
2 Reactions
42 Replies
2K Views
Kwa wanaoitaji Bei 125,000 sh Sent from my SM-A015F using JamiiForums mobile app
1 Reactions
5 Replies
529 Views
Wenyeji wa jiji la dar, naomba kujua huduma hii ya kuteketeza nywele au vinyweleo au ndevu kwa teknolojia tajwa naipata wapi?
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau, mimi ni mjasiriamali mdogo, nipo Bukoba, najihusisha na uuzaji wa dagaa wa Bukoba Kama mkoa uliopo kuna masoko au unafanya biashara hiyo nijuze au kama unajua mdau anayenunua dagaa vyema...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari ndugu. Jipatie viatu vya kike kwa bei ya jumla ya TZS18,000 tu kuanzia pieces 10 chini ya hapo tunauza kwa TZS20,000 tuu. Tunapatikana Ubungo Msewe - Dar es Salaam WhatsApp: Share on...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwa mahitaji ya vitabu vya jumla na rejareja Contact:0715 977883 Or 0756 017036
1 Reactions
20 Replies
2K Views
TUNAKUFATA, KUFANYA KAZI POPOTE ULIPO, MBELE YA MACHO YAKO* Bei tumeshusha Kwa 30% TUNABADILISHA VIOO ORIGINAL VYA IPHONE ZA AINA ZOTE KWA GHARAMA NAFUU KWA KUTUMIA MITAMBO MAALUM TOKA BELGIUM...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Jamani nilikuwa nahitaji line ya Safaricom kama kuna mtu anajua zinapopatikana au anauza naomba anicheki 0755 325 507 Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Hello ndugu, Nauza toyota Prius yangu ya mwaka 2007 Haina shida yoyote kabisa. Contact me 0744952994
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Mashine za kutengeneza chaki zinapatikana. Ni mpya tunatengeneza za manual 1. Tsh. Million 1.2 Mashine hii ni ya manual. Hii uzao ni chaki 2000 kwa saa Na ina matundu 400 2. Tsh. 600,000...
6 Reactions
18 Replies
19K Views
anahitajika mtu wa kubadilishana vituo vya kazi kwa nesi yoyote kutoka Dodoma wilayani Mpwapwa kuja mkoa.wa Lindi na Mtwara kwa wilaya kama mtwara mjini,Newala,Tandaimba,Masasi,Ruangwa,Mtwara...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Jaman kwa walimu mnaotaka kuhama/kubadilishana vituo vya kazi kuna application moja unaweza ukajisajiri ukapata watu wa kubadilishana nao wapo wengi na utapata details zao Tembelea...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Nahitaji comedian wa KUANDIKA vichekesho vichache kwa lugha la kiingereza kwa ajili ya event party.. Recommendation please na contacts Dm Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
0 Replies
340 Views
Kazi ya kununua nyumba ni kazi rahisi sana ukilinganisha na kazi ya kuuza nyumba hasa kwa wanunuzi wa nyumba wasio wawekezaji. Ni vigumu kupata wanunuzi wa nyumba kuliko kupata nyumba unayotaka...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Nyumba inauzwa kibaha mailimoja karibu na kwa mkuu wa mkoa nyumba ina hati ina ukubwa wa eneo la 400 sqmtrs (20×20) bei 35,000,000/= (milioni 35) mazungumzo yapo haina udalali mimi ndio mmiliki...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Pendezesha Nyumba yako kwa rangi Nzur ambazo azchosh, pia naweka wallpaper za Aina zote kwa ufanis wa Hali ya juu napatkana Dar nafanya kaz seem yyte, mawasliano 0656 535646
0 Reactions
68 Replies
12K Views
LISHE BORA KWA AFYA Fuata maelekezo haya ili uweze kujua aina za vyakula ili kuboresha afya yako. 1. Ulaji wa mboga za majani na matunda mbalimbali ambayo yana rangi tofauti tofauti. Hii husaidia...
2 Reactions
13 Replies
4K Views
Niko Dodoma Sofa watu 8 Sh. 680k Subwoofer 120k speaker 3 base ya 4 Showcase 280k NB: Vitu vyote vina miezi miwili tu Watsap 0715140001
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Fremu kama inavyoonekena ipo mbezi mwisho mitaa luguruni njia panda ya kanisa la KKT . Inafaa kwa biashara mbali mbali kama duka,ofisi,medical laboratory,dispensary,microfinance, nursery and...
0 Reactions
30 Replies
2K Views
Wapambanaji nauza printer yangu epson l382 ina mwezi mmoja tu tangu niinunue, karibuni njoo ukague mteja alie serious
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom