Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Naitaji Friji au Freezer Iwe used maana budget yangu ni fixed. Location nipo Arusha Welcome
0 Reactions
3 Replies
1K Views
N A U Z A Car wash set (vifaa vya car wash ) Jipatie 1.mashine za kuoshea zipo mbili (kazi kazi) hapo hukwami masaa 24 2.mashine ya kunyonya vumbi Lita 20 3.tank la Maji Lita 2000 4. Bango...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
xtrail new model Bei 15.5 Million 78,000 KM Petrol Engine 1990cc 1 owner , the car has been well taken care of. Call 0762 53 578
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Habari zenu! Nahitaji kioo cha simu yangu aina ya Samsung Galaxy Note10 Plus. Simu ilianguka ikagonga sehemu ktk kona ya kulia upande wa chini. Sasa baada ya tukio hili natumia peni tu kimatumizi...
1 Reactions
24 Replies
12K Views
Wadau, salaam! Ninauza kisimbuzi cha Startimes kile walichoingiza sokoni kwa mara ya kwanza wakati wa Kombe la Dunia South Africa mwaka 2008. Mtakumbuka wakati ule walituuzia shilingi 70,000/- ...
2 Reactions
2 Replies
820 Views
Bajaji inauzwa kwa Ofa ya kufungia Mwaka 2021, kwa wajasiriamali au watu wenye ndoto za kupata hesabu ya 20k au 15k kutegemea na mkoa uliopo hii ni kwa ajili yenu, Bajaji ni nzima haina shida...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Baiskeli aina ya MOUNTAIN BIKE zinapatikana. Napatikana Temeke Mawasiliano ni 0713898927 Karibuni Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Habari ndugu wana jukwaa, Wakuu naombeni msaada wa bei za hzi spare za mtumba (OG). Aina ya gari ni Toyota ist (2006) kwa anaefaham bei zake, kuna ndugu yangu kapata majanga sasa fundi kamwambia...
3 Reactions
7 Replies
5K Views
Nataka nitafute masoko ya Vanilla nje ya mipaka ila kabla ya yote ningependa kujua bei ya Vanilla ni TZS ngapi kwa sasa hasa maeno inapotoka iwe Kilimanjaro, Bukoba ama Iringa. Naomba anayejua...
5 Reactions
8 Replies
2K Views
Je unajua tank lako la kuhifadhi maji safi na salama kwa matumizi mbali mbali linabidi kusafishwa kila baada ya mwezi Kwa sababu pindi unapohifadhi maji mda mrefu bila kulisafisha tank huifadhi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Set mpya ya kisasa ya vifaa vya kupambia cake Set ina vitu vyote vya kupambia cake. Inakuja na vitu vingi kama sufuria 4 za cake Meza ya kupambia Nozzle 48 Kisu cha kukatia Mifuko ya...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
  • Closed
Habari wandugu, Nauza sofa set yenye jumla ya siti saba (7). Muundo wa sofa ni (Love seat) ambayo ni siti ya watu wawili. L-shape ambayo inaunganisha vipande vitatu. Kipande kidogo cha siti ya...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Wakubwa ninauza simu hiyo apo bado mpya kabisa, Shida zmenitembelea Bei ni 370000 0621588209
0 Reactions
9 Replies
433 Views
Wakuu niaje? Nitakua na mzigo wa vifaranga vya kuku wa nyama (Parent stock) kuanzia wiki ya pili ya january 2022. Kwa yoyote atakayekua interested asisite kuuliza au kuweka oda mapema kabisa kwa...
2 Reactions
2 Replies
758 Views
Habari zenu, Drone Online Ads tukiwa na uzoefu wa zaidi ya miaka 20 katika ujasiriamali Tanzania, na hasa jiji la Dar ,sasa tumeanza huduma ya kusaidia wajasiriamali kukua katika maeneo...
0 Reactions
0 Replies
556 Views
kama kichwa cha uzi kinavyosema, Gari ipo bandarini mwenye nayo kashindwa lipia. wajapan wanataka 5000USD wakupe Harrier yako details zake kwa haraka ni ina mileage ya 241,499 km engine capacity...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Nauza EXTERNAL HDD 750GB used but but in Mint Condition. Haina tatizo,inaweza kutumika pia kama internal 70,000/= location:Dar-es-salaam wa.me.255716889489
0 Reactions
2 Replies
674 Views
  • Closed
nahitaji pesa chap mtungi mkubwa na jiko lake complete 90 Kuna gesi ndani na jiko limetumika miezi minne Kimara mwisho: 0747456177
1 Reactions
22 Replies
1K Views
Msaada tafadhali, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo. Naweza pata wapi duka la vitabu kwa upande wa Dodoma N.B visiwe vya shule
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wakuu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji hii machine, iwe halali sio ya wizi, iwe ya kutumia umeme au mafuta. Bajeti yangu ni 700K. kwa mwenye nayo karibu tufanye biashara...
2 Reactions
1 Replies
952 Views
Back
Top Bottom