Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Chumba kizuri sana ndani ya geti Bei ni 70k miezi sita Una sub meter yako umeme Ni sekunde kufika barabara ya lami Choo mna share wawili Wahi mapema dm Karibu na hotel ya moveck
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Yaaani tangu ninue dish la Dstv haipiti miezi mitatu chanel zinakata kata natafuta fundi anagusa gusa akiondoka ikikaa baada ya mda linazingua tena!! sasa nimechoka kutoa hela kila siku...
0 Reactions
2 Replies
622 Views
Wakuu habarini za majukumu! Ninaomba yeyote anaeuza decoder ya Azam aniuzie whats app 0683965391 Asanteni
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nauza kiwanja kinachopatikana Itezi Mbeya. SIFA ZA KIWANJA 1. Kimepimwa na hati ipo. 2. Umeme hauhitaji nguzo au nguzo moja ukihitaji. 3. Nimeweka msingi wa mawe wa nyumba (Trip 9). 4. Mashimo...
2 Reactions
34 Replies
4K Views
Ina Speaker 3 Ina play Bluetooth Ina sehem ya Flash na Memory Card Bei 80,000/= Location Manzese Tip Top DSM Contact Call & whatsap 0678296878
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Je umefanya maamuzi ya kufikia uhuru wa kifedha kupitia majengo ya kupangisha?. Je umefanya maamuzi ya kustaafu mapema zaidi kupitia majengo ya kupangisha?. Je upo tayari kuanza kumiliki majengo...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Fursa kwa wakazi wa Dar es salaam na Habari ndugu,napenda kuwapa taarifa kuwa kuna fursa ya uanzishaji na ufugaji wa nyuki kwenye maeneo ya mikoko Dar es salaam. Maeneo yanagaiwa kwa walio...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Nyumba ipo Vikindu pwani, Chumba 3 moja Master, Dinning, kitchen, store, sitting. Bei mil 16 tsh 0683775566
0 Reactions
1 Replies
425 Views
Vikindu pwan,mbele ya mbagala kwa wasiopajua, Chumba 3 moja Master, dinning, kitchen, store, sitting. Price tsh 16 mil. Call 0683775566.
0 Reactions
0 Replies
409 Views
Fremu ipo mita 30 kutoka barabara ya lami ya shekilango road, nyuma ya rombo green view hotel mkabala na legho hotel. Kodi ya miezi 3/6/12 ndo inayopokelewa. Karibu kwa mawasiliano 0672037238
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Lenovo T440p Core i5 Processor 2.6ghz Integrated graphics 4gb Fhd Max. Reso. Battery 5hrs Price 620000/=
2 Reactions
4 Replies
657 Views
Tv ni smart yenye sifa zifuatazo:- 1. UHD Tv (4K resolution) 2. VIDAA SMART OS 3. High Dynamic Range 4. DTS Studio Sound 5. Bluetooth 6. NETFLIX, YOUTUBE etc. 7. Cast screen option 8. 3 HDMI ports...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Transporting tender notice. 35 flat bed trucks or called vichanja, needed for offloading chemical for soap making cargo from dar es salaam port to kibaha from tomorrow.30 mt flat base capacity in...
1 Reactions
5 Replies
678 Views
Ina cc2400 Imetembea 108000km Bado iko katika hali nzuri. Inapatikana tegeta DSM. Bei 12.5 ml Call +255 769 118 686
0 Reactions
2 Replies
747 Views
Nyumba hii Ina vyumba nane, fremu mbili za kufanyia biashara, jumla ya vyumba kumi. Ina umeme tayari, ina milango mizuri ya magliri madirisha aluminum Gypsum tailizi, iko eneo zuri Sana. Nyumba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nauza friji aina ya sharp non frost haigandishi mabarafu inagandisha vitu ulivyoweka rtu inapoza kwa haraka bei l380k mwasiliano 0622115570 IPO ARUSHA 0712206032
0 Reactions
1 Replies
36K Views
Mafuta haya yanakuza ndevu,yanang'arisha ndefu na kuzifanya ziwe na muonekano mzuri Pia kwa wale wenye uwalaza kuna mafuta mazuri ambayo yanarudisha nywele kwenye uwalaza Mawasiliano whatsapp...
0 Reactions
89 Replies
20K Views
Nauza gari yakufanyia biashara kirukuu mistubishi ,kinafaa kwakusambazia bidhaa au kubebe bidhaa za ufugaji kama mayai ,nyama kuku nk. Bei ni 4mil Mawasiliano .0622115570 au 0782719980 Kipo...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Nyumba inauzwa Mbeya mjini, Karibu na stand kuu ya Nanenane, nyuma ya hotel ya PM luxury hotel, kwenye eneo kuna nyumbaa kubwa moja, nyumba ya vyumba vitatu na nyumba ya vyumba viwili na parking...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
250ml kwa Tsh. 13,000. Tupo Mbagala Dar es Salaam Simu 0682432363 karibuni
2 Reactions
33 Replies
8K Views
Back
Top Bottom