Here some EcoActs plastic poles 3.3inch x feet 8 cost 24,500, which are suitable for farm fencing making, gardens making and road signs, our poles they do not rot, terminate free, long lasting...
Wakuu
NAHITAJI mtu mwenye gari aina ya Toyota Ist aniuzie. Iwe Cc 1290. Isiwe imerudiwa rangi au kusushwa injini. Namba DF na kuendelea. Awe mwenye gari sio dalali.
Mwenye nayo anicheck- PM
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu.
Mashine ipo Gongo la Mboto, Majohe, Dar Es Salaam. Bei ni Milioni 4 tu (Hii ni ofa ya mwisho haipungui zaidi ya hapo). Utapewa pamoja na vifaa vyake kama...
Property international limited
Inajihusisha na uuzaji wa viwanja vilolivyopimwa na Barbara ndan ya miradi yetu...
Miradi hiyo ipo
Kigambon
Mlandizi
Bagamoyo
Mwenye uhitaji,
Contact:0652066570...
Gari aina ya Rav 4 miss Tanzania inauzwa. Ipo Mbeya. Namba DCV. Imesimama sana.
Mileage: 177000
Sababu za kuuza: Nimebadilisha gari
Mmiliki: Mimi mwenyewe.
Bei 16m.
Mawasiliano : 0710613913 |...
Wakuu na Wadau wanaojua thamani ya hii kitu. Naiuza kwa bei rafiki
Standalone Server Cabinet With top mounted Colling Fan,
Naiuza ikiwa pamoja na Sisco Firewalls and Sisco Switch. Nauza baada ya...
Habari za muda huu ladies and gentlemen?
nauza kiwanja Bunju A Dar es salaam.
size ya kiwanja ni 30*30 hatua za miguu.
bei ni 7mil net.
karibu Kwa mazungumzo 0713096076
Habari.. Nauza mayai ya kisasa, kwa bei ya rejareja.
ni makubwa, natuma mpaka mikoani..
Bei ya sasa ni 8000 kwa trei.
Location: Nipo dar es salaam.
whatsAp 07450 98591
Sent from my Infinix...
Wadau karibuni Kisemvule Mkuranga mujipatie viwanja ukubwa 50 /40 umbali kutok barabara ya kusini ni 3km,2km bei!! ni 1.5.ml 1.8ml karibun ukileta mteja unapata asilimia 10 unalipa kwa awamu zaidi...
Mbao zenye dawa treated zisizoliwa na wadudu zinapatikana kwetu kwa bei za jumla na reja reja.
Tunatoa ofa za Misumari ya Bure 10kg na Ofa ya Usafiri wa kukupelekea mzigo sait Bure!
Tunapatikana...
Vodacom Tanzania hamna jinsi mnaweza kupunguza haya maneno mengi mkaweka hata VODA TZ AU VODACOM TZ. HILI JINA LENU REFU MPAKA MUONEKANO WA CM UNAKUWA BOARED. JARIBUNI KUWA KAMA MITANDAO MINGINE...
Habarini wadau,
Natafuta nyumba maeneo ya Goba, au Mbezi Shule hadi Mbezi Makonde. Nyumba iwe ndani ya geti na chumba, sebule,jiko na choo.
Bajeti yangu ni kuanzia 150k - 250k .
Kwa mwenye...
Hello!
PICHA ZA UKUTANI
Kulingana na mabadiliko ya teknolojia tumekuletea mfumo mpya wa picha za ukutani zisizokua na kioo ni mbao tupu. Ni imara na haziloani na maji kulinda ubora wa picha...
Kampuni ya simu za mkononi ya TECNO imezindua rasmi simu yake mpya toleo la CAMON 16s leo jijiini Dar es Salaam pamoja na kuwatambulisha mabalozi wa simu hiyo.
Akizungumza wakati wa uzinduzi huo...
Ndugu zangu,
Kutokana na kuhamishiwa kikazi mkoani katavi, sina jinsi zaidi ya kuiuza biashara yangu ya bucha ya nyama ya ngombe, iliopo eneo la bunju b mabwepande(off mabwepande road).
Bucha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.