Habarini wakuu naomba msaada kuhusu bei halisi ya Printer L805 kwa Mwanza, maana kunajamaa namuulizia kuhusu bei et ananiambia kwa Mwanza zimepanda bei ni 850000 je' ni sahihi kwa bei hiyo maana...
Anahitajika binti mwadilifu wa kulea watoto wawili pale mama yao anapokwenda kazini.
Sehemu ya kazi: Kimara Stop Over, Dar es Salaam
Idadi ya watoto: Wawili
Mawasiliano ya mama wa watoto...
Bei ya kulenga kabisa hii
chombo haina tatizo lolote.
ipo mawasiliano, Dar.
njoo ukague gari
0713096076
CHANGAMOTO ZAKE
Imepauka Rangi
Bampa linahitaji marekebisho kidogo, like 40,000 Tshs...
Habari wana JF,
Nina kiwanja changu nakiuza 4mil kipo Kigamboni kimbiji golani eneo la kidagaa kina hati toka ardhi 600sq ni km 35 kutoka Kigamboni Ferry ..
Kwa mawasiliano zaidi piga 0657940974
Amani kwenu.
Uvimo Maktaba
MFUMO WA UMEME WA NJIA MBILI NA UMEME WA SOLA NA TANESCO KUUNGANISHWA
Habari wadau, maktaba yetu inaaamini sote hatujambo.
Uvimo tunao uwezo was kuweka mifumo ya...
Habari wadau,
Mimi sina sifa ya kukopesheka Bank,
Hivyo nina shida ya mkopo wa M3 kwa mtu binafsi
dhamana niliokua nayo ni kiwanja kipo songea changalawe kipo barabarani kabisa
kiwanja kina...
Waungwana kwema? Nataraji sikukuu yaenda vyema kabisa.
Ninahitaji matofali ya kuchoma kwa Dar es salaam wapi naweza pata? Ni haya matofali ya kuchoma ya kawaida kabisa Kama tunayotumia kujengea...
Mashine ndogo za kufulia nguo za watoto na wakubwa pia
Ni semi automatic machines
Yoko Jf brands kutoka China
Zina kg 5
Zinatumia umeme mdogo
Zinahamishika na Rahisi kutumia
Zinafua,kusuuza na...
Afri Power Roofing ni Wataalamu wa kuezeka/Kupaua nyumba waliobobea katika fani hii na wenye uzoefu mkubwa.
Our Services:-
[emoji828]Tunaezeka/kupaua nyumba aina zote kwa uezekaji wa kisasa...
NAUZA MEZA NA VITI VYA MBAO
meza 3 za chakula
Meza 2 kubwa kwaajiri ya counter ya mhagawa
Kuna viti 11 vipo fresh ni bado vipya vilitengenezwa kwaajiri ya mgahawa sasa vinauzwa kwa dharula
Vyote...
Habari wakuu.
Nauza Bajaj TVS, ipo Mbauda Arusha. Ipo katika Hali njema. Bei 2.3m. Mazungumzo kidogo yapo Kwa mteja atakayekuwa serious.
Simu 0776655978 au 0656388678
Naomba kujua gharama ya kununua mashine ya kufyatua tofali kwa mkono nipo tanga mjini nimesikia zidapatikana sido sijui ni kweli naitaji yenye uwezo wa kutoa tofali ya nnchi 8
Mbao zenye dawa treated zisizoliwa na wadudu zinapatikana kwetu kwa bei za jumla na reja reja.
Tunatoa ofa za Misumari ya Bure 10kg na Ofa ya Usafiri wa kukupelekea mzigo sait Bure!
Tunapatikana...
350,000Tsh
1 year warranty
Full HD
Inasoma flash pamoja na external harddrives
Unaweza ukaifanya kama monitor ya computer
Unapewa na wall bracket ukinunua
Piga/Whatsapp 0753038470
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.