Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
wakuu, salam kama heading inavyojieleza wapi nitapata mbegu nzuri za mihogo kwa hapa Dar es Salaam zile aina ya kiroba naziitaji na pia na gharama zake?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naihitaji iyo mbegu ya kiroba kwa yeyote alionayo itakayotosha heka 3 tafadhali tuwasiliane Contacts:0710299840
0 Reactions
0 Replies
438 Views
Nauza mayai ya kienyeji tray @14,500. Niko Mwenge maeneo ya TRA. Ukihitaji kufanyiwa delivery, inawezekana na gharama zote ni juu yangu. Deliveryni kwa maeneo ya Dar. Namba yangu 0621047282
1 Reactions
5 Replies
786 Views
Habari, Natafuta chumba cha kupanga Kigoma mjini isiwe Ujiji wala uswahilini. Nitapendelea maeneo kama Kilimahewa,mjimwema,nazareth,maweni na viunga karibu na hivyo Chumba self cha nje napendelea...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Inabeba Lita 4,500 na bado ipo kwenye hali nzuri. Bei 25 Milioni (Maongezi yapo). Leo Juma Nne ukingoja January unaikosa hii. Boss wa moto! Tufanye biashara.... Tucheki 0678275619. #magariused...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Galaxy A12 4gb ram 64gb storage Quad cameras Fast charging Battery 5000mah Sided fingerprint Simu bado mpya kabisa ina miezi miwili na nusu tangu niinunue dukani. Bei ya ofa 290k kwakuwa...
0 Reactions
2 Replies
625 Views
Sitak fake
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari wadau, Naitaji gari ya kununua kwa mtu. Iwe Toyota IST. Cc 1290 (isiwe zaidi ya hizo) Isiwe imeguswa injini Namba D ndio itapewa kipaumbele. Siitaji dalali, sababu sina pesa ya...
2 Reactions
38 Replies
5K Views
Nyumba inauzwa Mbeya mjini, karibu na stand kuu ya Nanenane, nyuma ya hotel ya PM luxury hotel, kwenye eneo kuna nyumbaa kubwa moja, nyumba ya vyumba vitatu na nyumba ya vyumba viwili na parking...
0 Reactions
2 Replies
592 Views
JIFUNZE KUTENGENEZA MUSIC KWA KUTUMIA ADVANCED MUSIC SOFTWARES... DVD'S AVAILABLE AT CHEAPEST PRICE!!! CALL 0687-108905 1- REASON 5 FULL INSTALLATION DVD-...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari, Gari Excellent Condition inauzwa Nissan Murano - T879 DRW In a good condition, Full Ac Bei. - 10.5 M Contact - 0685020831 Gari ipo Tegeta - Kibo Complex, unaeeza nipigia muda wowote...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari jf Rejea kichwa cha habari hapo juu kama kuna mtu anauza sofa used zile ngumu zilizotolewa maofisin au majumbani nahitaji kununua , taja location na picha kama unazo itapendeza pia
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa wanaohitaji kuweka fridge kwenye gari yako kwa ajili ya kupoza na kuhifadhia chakula au kinywaji wakati wa safari au misele yako. Ninazo mini fridge nzuri sana zinafungwa kwenye gari na...
6 Reactions
9 Replies
2K Views
Introducing to you an innovative system to track payments #sends automatic reminders and announcements to parents, #easy to use and affordable to all. Price TZS 3000 per child per year. REGISTER...
0 Reactions
4 Replies
744 Views
Nahitaji gari aina ist bajeti yangu ni 5 to 6m gari iwe yako sio dalali sinunui kwa dalali
3 Reactions
21 Replies
5K Views
Doltu Architects offers design and planning services for new construction, renovations and additions for commercial and residential projects.Our architectural fee are competitive and our services...
0 Reactions
87 Replies
22K Views
Update: IMEUZWAAAAAAAA The car is SOLD as fvck😅 Imeuzwaaaa
9 Reactions
37 Replies
3K Views
Hello habari wana jamvi, kwa mtu yoyote mwenye kampuni ya kusafirisha mizigo kutoka Tanzania kwenda nje ya Tanzania, ninataka kupeleka vitunguu Gaborone, Botswana vitunguu gunia 80, sasa hapo...
1 Reactions
6 Replies
37K Views
Naiuza kama ilivyo Samsung note 9 Imeanguka Imevunja kioo Inawaka na ukipigiwa inaita Tatizo kioo tu Naiuza kama ilivyo Mali halali
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom