Habari ya asubuhi ndugu zangu, yoyoye anaemjua supplier mzuri wa mchele anichek kwa number: 0783 242247
Tumepata emergency therefore is very urgent to get it today or tomorrow.
Vigezo ni kama...
Kwa wanaopenda makazi yaliyo karibu na barabara kuu hii inawafaa zaidi.
Nyumba ipo Gongo la mboto(Kwalala).
Bado ina eneo na bei ni nafuu kabisa.
Tsh 35,000,000.
Karibu kwa mazungumzo.
Call 0755519358
Wadau habarini za mchana,ninaunza gari yangu aina ya Harrier Old Model,bei ni Tshs 15,000,000/ sababu zakuiuza ni kwamba kwamba nauza niweze kuongeza pesa ninunue gari jingine!
Tunatoa ujuzi na ushauri mbalimbali kuhusiana na uandishi wa research. Ushauri hui utahusiana na:
1.Njia za kuandaa na kutambua "Research Title"
2.Namna ya kuandaa "research proposal"
3.Njia...
Habari!!mwenye Motherboard ya samsung A71 au anayemjua fundi ambaye anauza au mtu yeyote anichek inbox sababu mafundi niliyowapelekea simu Yangu A71 imewashinda ,au Ambaye anauza A71 Used but...
Ninauza mashine za kusaga siagi ya karanga yaani kwa wale wanaotaka kuanzisha biashara ndogo ya uuzaji wa Penuty butter karibuni niwauzie mashine.
Sifa za mashine
Inasaga kwa kutumia nishati ya...
Kanisa la City Christian Centre-TAG Upanga chini ya Bishop DR. Ranwell Mwenisongole wanakualika katika (CHURCH ANNIVERSARY - 40 Years) maadhimisho ya miaka 40 ya Kanisa hilo.
Ni tarehe 11/11/2018...
Wakuu Habari.
Kama kichwa cha habari kinavyoonekana, bajeti yangu ni milion 22
Na naitaji Gari aina ya Fuso
Kwa yeyote anaeuza basi anidm tufanye biashara
Niko Dar es Salaam
Fakama wharehouse and Processing co.ltd ni wazalishaji na wauzaji wa mafuta ya Alizeti, kiwanda kinapatikana Mapilinga, Misungwi - Mwanza . Kwa yoyote anaehitaji kujiuisha na biashara ya kuuza...
Maoven yanaouzika sana Dsm sasa yamepungua bei
Bei-155,000Tsh tu
*Linatumia umeme kiduchu
*Linaoka mikate,cake na choma kuku na vinginevyo
*Pia unaweza ukapasha chakula chako
*Lina ujazo wa 48L...
Kiwanja kinauzwa Igoma mwanza.
size ni 30*25 ft
kipo mtaa wa kilimo A, Igoma jijini Mwanza.
Umeme upo kiwanjani, maji yapo hapo pia.
Kiwanja ni kizuri sana njoo uone kwa macho.
Bei 6 million...
Nyumba nzuri ya kupanga yenye vyumba 2(Kimoja ni master) ,Sebule kubwa ,choo cha public kwa ndani,Jiko kubwa na veranda lenye nafasi pande zote na iko ndani ya fence inapatikana eneo la Nzuguni...
Husika na kichwa hapo Juu..Nauza laptop Acer ikiwa na sifa hizi
Liquid Crystal Display 15'5
RAM 4GB
Harddisk 320GB
Battery 2hrs
WebCam
Bluetooth
Running Windows 10
Bei nahitaji Tsh.250,000 only...
Eneo: Goba Kulangwa
Uelekeo: 2Km kutoka barabara mpya ya lami ya njia nne kwenda Tegeta
Ukubwa: 400sqm
Hadhi: Skwata
Bei:Milioni 12
Eneo zuri lina barabara nzuri, na Umeme Upo tayari.
Ukihitaji...
#Ps2 fat zipo mbili zipo full kila moja ikiwa na flash yenye game 10
#ps2 moja ikiwa full bila tv ni Tsh 100k na TV ni Tsh 150k
#Zote nne ni yaani TV mbili na ps2 mbili Tsh 300k
#Hiyo TV nyeusi...
Habari wanaJF, kutana na wasambazaji na wakulima wakubwa wa zao la TANGAWIZI kutoka rungwe- mbeya, tunajihusisha na kutoa huduma ya usambazaji wa TANGAWIZI kwa wafanya biashara kutoka seheme...
Offer OFFER offer.
Kwa mara nyingine jipatie raba Kali kwa shilingi elfu kumi na mbili. Ukinunua kuanzia 2 inakua 10000.
Nipo kariakoo karibu na shule ya jangwani. Nicheki 0620239355
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.