Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Nyumba nzuri na mpya iliyo na servant quarter inapangishwa Bunju B. Bei 2,500,000/- Simu: 0713763026
1 Reactions
6 Replies
958 Views
Jamani natafuta screen ya Lenovo No. 15.6 slim mkanda mdogo...
0 Reactions
0 Replies
843 Views
Ina umiliki halali na nyaraka zake. Haijawahi kufunguliwa injini Engine Capacity 150 Bei Mil. 1.3 Inapatikana DSM. Haina udalali
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Karibuni sana. hio ni chumvi ya mawe/mabonge uzito ni 50kgs kuna mifuko zaidi ya 500. ipo Igoma, mtaa wa Kilimo A jijini Mwanza. bei: 25,000 Tshs. Wengine wanauza elfu 30 mpaka 28,000 Tuwasiliane...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wajenzi Dodoma mjini na Mwembe Yanga Dar es Salaam - 0623 071 611 IERS
0 Reactions
0 Replies
481 Views
Hello wanandugu ,Kwanza kabisa nashukuru Kwa wale wote walionipa mwanga kuhusu kuagiza Gari from Singapore ,Gari ilishafika na nililipa TSHS 350000 Kwa ajili ya inspection fee tu na wala sio...
16 Reactions
126 Replies
17K Views
Ipo sokoni, 260k (haipungui hata 100) au njoo na exchange deal. RAM: 6GB Storage: 64GB Popote ulipo itakufikia. Kama umeona vizuri ina kidoa kidogo upande wa kulia. Hakuna dosari zaidi ya hiko...
1 Reactions
9 Replies
768 Views
Iwe flat screen,inch 20 au 21. Ofa iliyopo ni laki na nusu tu.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Isecure Technology inawaletea teknolojia mpya ya usalama katika gari , ambacho inafanya kazi kama alarm system hapo hapo inafanya kazi ya tracking . Kifaa hiki kina uwezo wa kufanya kazi zote kwa...
8 Reactions
120 Replies
17K Views
Salaam Sana wakuu. Nauza Hilo jike Bei ya kutupa ths laki 6 ila amepandwa Kama week 2 zimeisha . Hiyo Ni zile mbegu ndefu Kama unavyomuona . Mahali alipo Ni kiluvya gogoni dsm Picha Zaid...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Frige bado mpya Hisense bei 320000 ipo Dar mawasiliano #0654717043
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Ukishuka kwa mathias eneo lipo ndani kutoka barabara kuu 1.5km karibu na shule ya Secondary inaitwa Nyumbu. Bodaboda elfu 1 kufika site. Vyumba 3 moja master Jiko Stoo Choo na bafu Sebule Dinning...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Kwanza awali ya yote napenda uelewe kwamba Kichwa Cha binadamu kinaunda na vishikizi vipatavyo 100,000 Hadi 300,000 ambapo kuptia vishikizi hivi nywele huota Nywele huota kutokana na sababu...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
  • Closed
Habari za leo wandugu. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Jina: Amedeus Apolinary Masawe Umri: Miaka 14 Siku ya mwisho alikuwa amevaa track suit ya kijivu na mistari myeupe pembeni, t shirt...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Nauza gari, ni min bus yenye usajili wa number C. Aina ya LDV convoy. Gari ipo mwanza kwimba. Linahitaji marekebisho kadhaa na halijatumika muda mrefu. Bei ni 4.7M (mazungumzo yapo). Kwa...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Attendance data is one of the core component of school management data which is used to monitor student’s behaviour and overall wellbeing. Daily, attendance records of all students are stored and...
0 Reactions
0 Replies
350 Views
HP LAPTOP Intel Core i2 2nd generation CPU @ 2.00GHz RAM 4.00 GB HDD 250 GB System type 64 bit OS Bei 350,000/= haina tatizo lolote 0718965554/0759901919 Dar es Salaam
0 Reactions
4 Replies
562 Views
.
4 Reactions
75 Replies
10K Views
4gb ram 64gb storage Quad cameras Battery 5000mah Fast charging type-c Bei 320,000 Exchange inaruhusiwa kwa mwenye A10s ama infinix kisha atanijazia hela tutakayoelewana. Bado mpya kabisa...
1 Reactions
2 Replies
825 Views
Habari za Week end Ndugu zangu,Kwa mujibu wa Vigezo vya JMT na kwa kuzingatia uzamifu wangu katika masuala yanayonihusu Nimeamua kujitunuku Shahada ya 10 yaani PHD.Vigezo nilivotumia kujitunuku...
6 Reactions
17 Replies
952 Views
Back
Top Bottom