Habari wana jamii??
NYUMBA INAUZWA IPO maeneo ya tabata TOT ila Gari haliingii ndani mpaka katikaeneo la NYUMBA NYUMBA Ina vyumba vitatu na jiko na uwanja ulio baki Ni huo unaouona katika picha...
Water pump Leo =300k
Printer canon na Hp=200k
Canon: inahitaji toner
Hp: printhead imekufa
Samsung note 9=400k
Washing machine( von hotpoint 10kg) = 50k
Washing machine: upande wa ku spin haufany...
Tunatengeneza na kuuza mashine za kuchoma chuma (weliding). Pia za kuchaji betri za magari.
Kama unataka kutengeneza fenicha za chuma kama milango, mageti, vitanda n.k
Au unataka kwa ajili ya...
Wadau salaamu,
Nahitaji mkopo wa haraka na dharura kutoka kwa mtu binafi wa kiasi cha milioni 2, nitarejesha kwa riba ya 40% baada ya mwezi 1.
Dhamana:
1. Gari langu rav4 namba D (nitakabidhi...
The JBL Bar 9.1 soundbar brings audio experience of a movie theater into your home with two detachable surround speakers and the added punch of Dolby Atmos[emoji2400] and DTS:X[emoji769] 3D sound...
Hii hapa smart tv 43" aina ya TCL.
Vifaa vyake vipo
(Stendi ya ukutani remote)
Bei Tshs 580,000/=
Ipo Airport, Dar es salaam.
Wahi mapema hazinaga kusubiri
Piga simu 0744033555
Ofa: natoa...
Wasalamu kwa wote
Mabegi yanauzwa kwa Bei ya jumla. Nikwawakazi wa Arusha na Moshi. Agiza tukuletee ulipo.
Bei ni 16,000 chini ya pic 100.
Ila kuanzia pic 100 ni shilingi 15,000.
Karibu asante...
Eneo Chanika Buyuni kituo cha daladala kwa dadi, ukubwa urefu hatua 25 na upana hatua 15. Eneo lina msingi wa nyumba vyumba vitatu vya kulala, kimoja master bedroom, kina sebule, jiko na choo cha...
Car vacuum cleaner.
-Machine ndogo ya kusafishia ndani ya gari
-Inanyonya uchafu sehem zozote ndani ya gari
-Unatumia umeme wa gari DC 12 volt-57,500 tu
Tupo kkoo dar es salaam
Call-0753038470
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.