Utangulizi
Hebu fikiria unaenda dukani kununua bidhaa na unambiwa kwamba bidhaa hiyo haipo. Unazunguka maduka zaidi na jibu linakuwa lile lile. Hapo inabidi aidha uhairishe ununuzi, au ufunge...
Tafathali rejea hapo juu,
Binafsi natafuta gari ya mishe za hapa mjini.
budget 4mil
Namba kuanzia B..japo hata Kama una A unaamin Ina thaman tupia haina shida maana mi fundi ntaikagua mwenyew...
Ni fundi urembo wa
Dirisha
Nguzo
Fensi
Kona au pembe za nyumba
Pia Tunafanya Skimming na Rangi kwa bei nafuu kabisa...
Pia tunatengeneza Dirisha za Aluminium kwa bei safiii
Simu: 0789005562...
Wakuu,
Sasa unaweza kupata Mzinga wa LANGSTROTH kwa bei ya Tshs 170,000/= tu. Kupitia mzinga huo utaweza kuvuna bidhaa zifuatazo;
-Sumu ya Nyuki (Bee Venom)
-Chavua (Pollen)
-Gundi ya Nyuki...
Jipatie hii gari kwa milioni 10 tu
iko vizuri, full ac, new tyres,
mengineyo njoo ukague gari
Toyota ist
Price...10,000,000
Full...A,c
Full...Ducuments
Year....2005
Cc.....1290
Gar nzur san...
Ni Scania 114 340
8×4 8 Gears
Manual gear
Imeshalipiwa ushuru lakini bado haijasiliwa.
Asili yake ni body ya Tipa lakini ilitolewa huko huko nje.
Tunaitoa kwa bei ya milioni 105 (Maongezi yapo)...
Habari wandugu,
Siku hizi matangazo ya biashara ili yawe na usikivu unaovutia yanatengenezwa kwa mfumo wa komedi. Nitatoa mfano wa tangazo la soda ya 7 Up ambalo linasikika redioni.
Kama kuna...
offer ya moto 🙌
brand new smart TV inch 55
full HD
unapata na free wall stand🙌
brand ni AJVXI
unapata warranty ya mwaka 1
bei ni 830k tu🤑
zimebaki 3 tu
zipo tegeta nyuki, Dar es salaam
nichkek...
Nauza kuku wa kienyeji kutoka Tabora vijijini,handeni tanga
Tetea sh 18000 kwa 20,000 majogoo.
Kuku ni watamu sana
Karibuni sana
Mawasiliano: 0692669235
AirPods Pro
For iphones , Android and all mobilephones
Automatic Ear Detection
POP-UP Window
Rename Your Earphone
Voice Assistant
Range :>10M
Headphone Battery Capacity : 40mAh
Charging Capacity ...
Nimekuwa nikitamani kujua kujifunza kupiga kinanda. Muda umefika sasa ambao naona ni mwafaka kuchukua hatua ya kujifunza na kuachana na kutamani tu! Naomba kujua ni wapi wanafundisha ili nami...
AGIZA- VOLKSWAGEN TOURAGE KWA 25.5m
Na KIMOMWE MOTORS (T) LTD- Waagizaji Magari
Cc 3200 (Km 7.5/L), Km 82,000.
Gharama zote 25,500,000. Awali lipa 13,500,000.
Tembelea ofisi zetu Dar au Mbeya...
Habari watanzania poleni kwa usumbufu nilikua nashida ya kufahamu haya Mawe naweza kuyapata wapi Tanzania mwenye msaada wowote ule anisaidie hata maelezo kuhusu haya Mawe asanteni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.