Shamba linauzwa
Liko- Tanga Tanzania.
Mahali- Handeni
Eneo- Kabuku
Umbali km 6 toka barabara kuu ya lami.
Ukubwa wake ni heka 100
Nyaraka za umiliki lina hati ya kijiji.
Ndani yake lina...
Kwa mahitaji ya viungo kama Iliki, Karafuu, Tangawizi kavu na Pilipili Manga nicheki kupitia namba hii 0786360818. Bei zetu ni za jumla tupo Tanga Muheza na usafiri ni juu yako. Hata zaidi ya tani...
Nina shida ya pesa
Iphone X
Ina wiki 2 tu.
Gb 64.
B.Health 100%.
Face id.
Truetone.
Nina shida na pesa.
Box lipo.
Charger na earphones zipo.
Kiufupi mzigo ni mpya.
Bei maelewano.
Number.
0683011003
For;
University students
O-level student
Advanced level students.
Bei ya offer:25000/= badala ya 35000/=
Tunapatikana mabibo mwisho na ubungo river side
Mawasiliano 0755379743
Wakuu mdogo wenu nina used laptop hp hapa in clean condition naiuza yenye sepecifaication zifuatazo
Intel R 1 . 4 .6 ghz 4gb , 64 bit porcessor,na inapatikana kwa 350 k ila kua maelewano
picha...
Tunatoa huduma za usafi wa majumbani, maofisini, mashuleni, mabasi, viwandani nk.
Pia tunafua nguo kwa kukufata ulipo na gharama nafuu.
Tupigie sasa 0678208789
Au waweza fika ofisini kwetu...
Opportunity to Invest & Earn(Increase/widen your portfolio base)in our leather products production Company(Industry)
-Jina la kampuni ni Pham Designs
-Habari wanandugu,kama kichwa kinavyojieleza...
Nyumba ipo Tabata Kisukuru(migombani). Mita 200 kutoka standi ya migombani
Nyumba ina vyumba vi nne (viwili ni master), sebure, dinning, jiko na public toilet. Ina umeme na maji ya DAWASCO
Gari...
Kiwanja kipo mjimwema mtaa wa kibugumo mita 300 toka ilipo sheli ya puma kiwanja kina ukubwa wa mita 35×17 kiwanja nyuma kina fensi na ubavuni pia tayari fensi nusu Bei ml 16 ofa inasikilizwa...
Habari wadau kama unajua Showroom ambayo naweza kuchukua gari na nikailipia kidogo kidogo kwa muda wa mwaka mmoja au miwili naomba mnijuze jamani...maana nahitaji gari ila sina pesa timilifu.
GENERATOR AND AIR COMPRESSOR SOLUTION
We dealing with:-
■Generator
☆Selling generator Used and New
☆Preventive and Breakdown maintenances
☆Generator installation
■Air Compressor ((Selling used and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.