Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Habari, Niko Zambia hapa na nahitaji malori kama 50 hivi yanayorejea Tanzania kutokea DRC au Zambia. Kuna mzigo wa kubeba kuleta Dar-es-Salaam. Mawasiliano please PM me your phone number. Ahsante.
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Naitaka hii show alikuenayo plz anicheki ni ya Volkswagen polo batan zote zinafanya kazi issue tu show imevunjika njoo inbox fasta kama kuna muuza speak aje. Anaijua Bei yake.
0 Reactions
0 Replies
993 Views
Sio kila Gypsum inafaa kwa kutengenezea chaki sisi ni wauzaji wa Unga special kwa shuhuli ya kutengenezea chaki na mikanda ya gypsum tunauwezo wa kukuletea mpaka mlangoni kiasi chochote unacho...
2 Reactions
6 Replies
5K Views
Printer ni HP Laptop ni samsung Computer ni ONDA Bidhaa zote zilikuwa zinatumika ofisini Bei laki 7 fixed for all Location Dar es salaam Communication 0625825641
0 Reactions
2 Replies
827 Views
Sabuni za MLANGA MAGADI sabuni bora za mawingu kutoka kigoma tunaakutumia popote nchini store yetu kubwa IPO Dodoma Kwa jumla na rejareja utapata mzigo kwa wakati.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ipad 6th Gen for sale Used for 4 month 32 GB Wifi Only Fingerprint Sensor High Definition Camera Long lasting battery Come with full charger Price; tsh.500,000/= Contacts: 0689341445
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Heshima yenu wakuu. BJB FINE CLOTHING, Tumeakuandalia KNITTED TIES ZA KIJANJA, MEN UNDERWEAR (BOXER) KALI, PAMOJA NA SOCKS NZURI zenye ubora. Our Aim Is To Make You More Comfortable And...
11 Reactions
167 Replies
21K Views
jenereta linauzwa masaki Dar es salaam ndipo linapopatikana KVA 20 lipo stoo limewekwa baada ya kununuliwa jingine engine ni LISTER PETER jina lake ni FG WILSON linawaka vizuri na kupiga kazi bei...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari za jion wana JF Kwa anae hitaji vifaranga vya indian runner vipo 10 kimoja Tsh 15000/= Pair ya mallard ducks Tsh 120000/= Madume ya Muscovy duck @ 28000/+ Na makinda ya Muscovy @Tsh...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Cruise auto spare ni wauzaji wa spear party za magari Jeep, BMW, Audi, Land rover, Porsche, Volkswagen, Chrysler, Range/Land rover Duka linapatikana MAKAO MAPYA,EDEN ROAD jirani na cafe laziz...
5 Reactions
85 Replies
11K Views
MACHAKOS UNIVERSITY. SCHOOL OF WITCHCRAFT. COURSE OUTLINE. PROGRAMME: BACHELOR OF ARTS IN WITCHCRAFT. FIRST YEAR: 1ST SEMESTER SECTION: 1. 1. Introduction to witchcraft (Etymology and...
5 Reactions
33 Replies
2K Views
Nauza printer ndogo ya canon pamoja na laptop window surface 8 pro processor i 5 core,4Gb Ram,memory 128 ina crack kidogo juu pembeni mwa kioo lakini inafanya kazi vizuri kabisa.bei tsh230,000...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Ramani za Nyumba Ofaa baaa KUBWA Wateja 10 wa mwanzo! Pata Ramani kwa ajili ya nyumba yako kuanzia bei ndogo kabisa ya kuanzia Elfu hamsini (50) Ndioooo Kuanzia elfu 50 tu! Kwa ramani na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari Wakuu, Naitaj Laptop used isiwe mini laptop, Ram ziwe ni ddr3, Bei isizidi 250k contact: 0674451586, Mbeya
0 Reactions
0 Replies
356 Views
Dell inspiron hard disk 250GB Ram 2GB c duocore battery: 1hr location KARUME DSM price: tsh 200000 contact: 0757870230 ni mashine kali haina kipengele chochote. karibuni tufanye biashara...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hdd 500gb, Ram4gb, core i5 Price 350,000
0 Reactions
5 Replies
709 Views
Lenovo X130e Bei ni 230,000, (Maongezi yapo, kubadilishana na smartphone accepted) Mawasiliano unaweza kuni DM Location Kibaha
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Shamba linauzwa Liko- Tanga Tanzania. Mahali- Handeni Eneo- Kabuku Umbali km 6 toka barabara kuu ya lami. Ukubwa wake ni heka 100 Nyaraka za umiliki lina hati ya kijiji. Ndani yake lina...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wadau mimi ni mpambanaji mwenzenu...nahitaji kujua chimbo la zile kacha za bangili kwa anaejua maeneo ya kariakoo....naomba kuwasilisha
0 Reactions
0 Replies
878 Views
Back
Top Bottom