Habari wakuu, naomba kufahamu jina la mashine za kuwekea stickers Kwenye simu na pc Pamoja na bei yake mfano wa sticker[emoji1313][emoji1313].
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu ujipatie causal leser bench kwa matumizi ya ofisini, dinning room, sitting room na chumbani.
Tunapatikana tabata 0767601018.
causal leser bench 150,000.
Mito 20,000 mmoja
Zulia 15,000...
Habari wadau.
Kwa Dar es Salaam wapi naweza kupata duka la viatu vya mtumba bei ya kati. Mimi sio mdosi. Bei zake range kuanzia 30K mpaka 80K.
Mtumba OG kabisa.
Naomba kuwasilisha.
Thread ya kwanza mliikashifu kuhusu hii kitu kutumia internet bure bila ya kuwa na MB wa Salio Katika laini yako Sasa Ipo ivi
Kuna applications maalum ambazo nitakupatia zenye uwezo wa ku bypass...
Nyumba ina vyumba 3 kimoja master , sitting na daning pamoja na jiko
Nyumba ina jiko la nje na ndani . kisima cha maji na umeme. .nyumba ina fence kubwa na nyumba ni mpyaaa
Ukubwa wa kiwanja...
Nauza makabati ya nguo na viatu ya zipu
Ni imara na zinapendezesha nyumba
Yapo ya rangi mbalimbali
Wateja wa dar unaletewa buree
Unafungiwa pia buree
Kwa wateja wa mkoani tunatuma kupitia mabasi...
Shamba la ekari 100
linauzwa, Tshs milioni 12 (laki 1.2 kwa eka 1)
zao la korosho inakubali Sana hapo.
SHAMBA lipo wilaya ya manyoni kijiji cha (....) mkoa wa singida.
Shamba linakubali...
Epson Projector
Bei Tsh 450,000/-
Zimetumika Uingereza lakin zipo kwenye hali nzuri
New Lamp installed
Zinafaa kuoneshea mpira au makanisani au ukumbini kwenye sherehe
Zinatoa picha kubwa...
Nyumba na kiwanja vyauzwa Bunju B Sokoni 80m/=.
Kina title deed, 890 Square Meters, master, vyumba 3 vya kwaida, public toilet, garage, karibu na soko na barabara kuu ya Bagamoyo.
Bunju
Mzee...
Sanaa nzuri kabisaa toka kwa Kijana mzalendo kabisa wa kitanzania
Mwamba Tanzania, shujaa wa Afrika na Rais wa karne
Endelea kupumzika kwa amani President John Pombe Magufuli 🕊🙏
Tunakupa kilicho bora kwaajili ya biashara yako.
Tangaza biashara yako kwa kupata LOGO mpya, nzuri na yenye muonekano mzuri.
Tunaprint/kudarizi kwenye Kofia/T-shirts/Shirts n.k kwaajili ya...
Indriver ni app bora kuwahi kutokea katika teknolojia ya usafiri nchini Tanzania kwa sababu zifuatazo:-
1). Abiria anapendekeza bei ya safari kulingana na uwezo wa mfuko wake na Inatoa mwanya wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.