Wanajamvi wajasiriamali hasa waliopo kwenye Micro Finance, watu binafsi au SACCOSS au biashara yoyote ya kukopesha fedha.
Je, kati yetu kuna mtu taasisi yake au kampuni wana shida ya kupata...
Hizi ni baadhi ya 3D view za design ambazo nimeziandaa,
1. Ina sitting room, three bedroom, guest room, study room, kitchen, store, public w/c
Inachukua nafasi ya 222.65SQM.
2. hii ina...
Natafuta magari mawili ya chap aina ya Stalet, Ist, vitz, suzuki, platiz, spacial etc
Bajeti yangu ni 3m kwa gari moja. Mwenye nayo njoo chamber tuyajenge.
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Natambua nyote ni maboss zangu, kwa maelezo mafupi yanayoendana na kichwa cha bandiko. Kutokana na taaluma yangu, Freelance Photographer...
Luxbase Automotive Upholstery
[emoji778]Tunabuni, kutengeneza na kuuza seat covers za magari aina yote, jumla na rejareja.
[emoji778] Tunaweka covers kwenye milango (kwa ndani), kwenye...
Rafiki yangu mpendwa,
Miaka elfu 5 iliyopita, binadamu aliyekuwa porini akiwinda au kukusanya chakula, aliposikia kishindo alianza kukimbia mara moja.
Hakusubiri aone kishindo hicho ni cha nini...
Habarini za sasahivi ndugu zanguni?
Ni matumaini yangu mko wazima wa afya .. Kwa mala nyingine tena leo hii naatangazi iphone tajwa apo chini zote zinapatikana Kwa kijana wenu mjasili na mali...
Kiwanja kinauzwa Bunju A
Kiwanja kiko bunju sehem inaitwa Kinondo kimepakana na kiwanja cha riziwan kikwete
document za serikali ya mtaa zipo
Bado hakijapimwa
Size 30*30
KUHUSU MIUNDOMBINU...
HELLO! WE ARE COMPUTER SPRINGS
With Over 7+ years of Innovation, Dedication and Trust
Computer Springs is a Technology Company providing highly scalable web solution and all IT solution with...
Habari wadau wa JamiiForums,
Salamu kutoka WLC.
Tuliomba nafasi kwa uongozi tuje kutoa elimu kwenu kuhusiana na uagizaji wa bidhaa au huduma ndani na nje ya nchi. Tumekuja rasmi.
Mzigo wako...
Habari wanajamvi.
Kijana mwenze ninawaombeni kwa mwenye uhitaji wa fundi Skiming na Upakaji Rangi na upakaji wa material mbali mbali ya urembo kama vile, stone, Decoo, con mixer, pamba/...
Kama uzi unavosomeka ninaomba mwenye uelewa au anajua sehem wanapotoa mafunzo ya mbwa,na kuuza anisaidie, ninamhitaji sana, kama yupo ani tafute tuyajenge.
Nipo Dar, Kinondoni Bunju B.
Karibu...
Wakuu..
Natafuta pikipiki iliyo ktk hali nzuri kabisa.
-Iwe haijatumika zaidi ya mwaka na iwe namba C
-Iwe TVS, BOXER ama nyingine yenye muundo huo...
-Bei isizidi 1M
- Location iwe Dar
-Uwe...
Wakuu,
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyoonesha. Ntasafiri kutoka Dar kwenda Mbeya siku ya ijumaa tarehe 7 Dec
Ila hata akipatikana wa Njombe au Makambako bado si mbaya. Kama yupo naomba...
Habari Wakuu.
Naandika kwa niaba ya rafiki yangu ambaye anatafuta usafiri "Private" kutoka kwa mdau yeyote anayetarajia kusafiri kutoka Dar kwenda Bukoba siku za hivi karibuni.
Rafiki yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.