Habari ya asubuhi wakuu,
Nina mgeni wangu week mbili zijazo anakuja kutembea naweza pata wapi Gari ya kukodisha kwa safari za mikoani. Gari itapita mikoa hii, Dar, Morogoro, Dodoma, Singida...
habari wakuu?
Ninajihusisha na uagizaji wa Spea za magari ya Ulaya... Kwa muhitaji yeyote anaweza kuni PM au akacomment hapa nitakusanya request kisha nitareply kwa Bei zetu.
Bei ni nafuu na...
Niaje wadau viwana wenzangu naomba tupeane support kwenye utafutaji wa ridhiki zetu za kila siku mimi ni kinyozi nina uzoefu wa miaka mitano(5) kwenye kazi yangu naishi kigamboni, Dar es salaam...
Wakuu habari
Kampuni ya microcredit inauzwa baada ya kushindwa kujiendesha. IPO vizuri IPO DSM na ilishafanyiwa annual return.
Karibuni. Documents zote zipo.
Ushirikiano upo wa kukamilisha umiliki.
Wakuu habari,
Nahitaji tent la kukodisha kwa kesho siku moja tu. Tent dogo la kawaida futi saba mahali ya tukio ni makumbusho sayansi tuwasiliane kwa namba 0757 563328 tafadhali.
Kwa yoyote...
Habari.
Natafuta deep flayer inayotumia umeme kwaajili ya kuchoea chips, iwe na plate mbili.
Njoo na offer yako.
Mawasiliano: 0743-451-357 call/sms/WhatsApp/PM
Nauza kiwanja kipo Miganga West Dodoma Mjini kiwanja kina huduma zote za msingi kama barabara maji na umeme kimepimwa na kina documents ukubwa wa kiwanja ni sqm 450 bei ya kuuza milioni 6...
Salaam Wakuu,
Natafuta fundi wa form work, ninakaproject kangu kadogo, inaweza ikawa ni kazi ya siku tatu hadi nne, Ninalipa sh.40,000 kwa Siku, kazi ipo maeneo ya Kinyerezi mwisho.
Kama upo...
Kuku "vijogoo wa nyama" wanauzwa kwa ajili ya kufugwa. Wana wiki 6. Wanapatikana Kibamba, Dar es Salaam. Wapo 300. Bei ni 6000 kwa kila mmoja. Piga 0715066185 au 0753066185 kwa maelezo na maelekezo.
Nyerere National Park Itinerary
Early Morning at 4am, you will be picked from your hotel in Dar es salaam and after a short safari briefing from the guide, drive to Nyerere national park for...
Viwanja vinauzwa kigamboni mwembe mdogo karibia na chuo cha afya kigamboni college
1. Umbali kutoka ferry mpk site ni killometer 23
2. Viwanja vimepimwa ila vipo katika michakato ya hati kwahy...
Toyota Noah SR 50, Auto Transmission ya mwaka 1999 inauzwa,
Engine bomba haijawahi kuguswa,inatembea kama kawaida
Ipo Dodoma,vibali ndio vimeisha maana ipo parking muda mrefu haitumiki
Bei...
Wakuuu naombeni msaada wenu kwa hali yoyote nipo tayari kuingia gharama ikiwezekana,nilikuwa na dula la vinywaji vikali maeneo ya kinondoni ila bahati mbaya sijui mchezo ulifanyika na muuzaji...
Habari za muda huu.
Napenda kuwakaribisha katika huduma yetu ya kuweka movies na series, huduma hii ni Mobile(Inayotembea)
Kwa wakazi wa kigamboni, free derivary. Movie na Series zetu zipo...
Leo nachukuwa fursa hii kuwa karibisha wadau na wapenzi wa UGALI na NYAM CHOMA (T-BONE STEAK) katika mgaha wetu pale NAMANGA,MSASANI, dakika 1 kutoka kituo cha Namanga.
Ugali : 500
Nyama : 3000...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.