Hii ni sabuni iliyotengezwa kwa maziwa na asali. Kazi yake ni kuweka ngozi kuwa nyororo na inatakatisha ngozi kwa haraka. Inauzwa elf 8 t.
Na hii ni sabuni ya aina yake yenye harufu nzury na ya...
Kiwanja kinauzwa,kipo Mabwepande (Bar Mpya), km 4 toka Bagamoyo Road Bunju,
Kina Sqm 447,
Kina Hati (Title Deed).
Bei ni Tshs.14,000,000.
Kwa maongezi piga simu namba 0677089280.
Twende Mlima Hanang Siku 3.
Tarehe : 25th-27th,June,2021
Garama: 250,000Tsh
Mwisho wa Kulipia: 20th
Inajumlisha:
Chakula
Malazi
Viingilio
Usafiri kwenda na kurudi
Muongoza Njia
Kufanya Booking...
Uwanja unauzwa upo Dar es salaaam chamazi machimbo kwenye bomba la Gesi.Bei mill 7 kipo sehem mzuri pia pamejengwa mi nimebaki katikati kwa anaehitaji namba ya simu 0767124704
Wenyeji na wakazi wa jiji la DSM, kwa mtu mwenye kipato cha kati ni maeneo gani kwa Dsm ambayo yametulia (siyo uswahili sana) naweza kupata kiwanja walau cha sqm 800 kwa bei kati ya 10m-15m...
Frem,mabanda na eneo lipo ndan ya uzio
Linapangishwa
Frem mbili
Eneo ndani ya uzio
Mabanda yapo ndan ya uzio
Unaweza fanya biashara
Unayotaka wewe
Lipo bagamoyo zinga kwa mtoro
Lipo jirani...
Wadau habarini,
Msaada kwa mtu anaeishi jijini Dodoma na anajishughulisha na uuzaji wa kuku wa kisasa wa mayai wanaotaga mwezi kwa mwezi ,kama yupo tuwasiliane tafadhali...
Nyumba ya kifahari ghorofa moja inapangishwa kigamboni mjimwema. 0756590833, 0623579290
Kitchen Shelf, Pre Paid Meter, Dining Area, Air Conditioning, Pop Ceiling, 24 Hours Electricity...
Battery health :90%
Face id :ipo
Water proof
Camera :kali vibaya mno
Inakuja full box i.e charger,earphones na silicon cover
Price :850,000tsh
Contacts :0734828299
Toyota Crown classic,
T 823 DUV,
Year 2004,
Engine 4GR,
CCC 2490,
Full music system ,
Sport ligh with high detective colour,
Full documents,
In mint Condition,
Price 14m negotiation,
Location...
Kwa gentlemen wa Dar, napata wap cadet za pamba hazikubana chini? Walau chini iwe 21" naona kizazi kipya kinatutoa sokon tusiopenda fashion za chupa na mlegezo
Naombeni mnisaidie ni maeneo yepi ktk mkoa wa Dar naweza pata chumba kizuri cha masters kwa bei nzuri ya kizalendo or n maeneo yepi dsm unaweza mshauri mtu akapange chumba na kuanza maisha.
VITAMBULISHO VYA PVC(PVC ID CARDS)
Hii ni maalum kwa
Shule za Secondary
College
Taasisi
Mtu binafsi
Company N.k
Tunatengeneza vitambulisho vya PVC (polyvinylChloride) ni vile vitambulisho...
Wakuu habari zenu.
Mwenye ndugu au babu yake kama anauza shamba kuanzia heka moja au zaidi lakini liwe barabarani au isizidi kama moja kutoka barabarani. Maeneo yanayohitajika ni kuanzia Kibaha...
Habari wakuu, nipo hapa Dar
Naombeni msaada.
Nataka kufufua gari langu natafuta hizi spare, wapi naweza kupata mpya na genuine? Bei?
5L Engine assembly (complete set ikiwa na kila kitu)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.