Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Tunauza mbao za kupauwa zenye dawa kwa uaminifu mkubwa, na tunakupa ofa ya usafiri bure.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ipo mjimwema mtaa wa Kibugumo Ina vyumba viwili master sitting room Dining Room jiko na public toilet kiwanja kina 25×35 pia mbele kuna Boma la Frem Mbili za biashara bei Tsh. milioni 85 maongezi...
0 Reactions
0 Replies
857 Views
Nahitaji mtu anaeuza flatscreen smart TV inch 32 brand Hisense. Napatikana Morocco ATS office eneo la Ada estate. Tunaandikishiana ofisini hapa kabisa. Malipo: Nitalipa kwa two installments in a...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari, Nahitaji account ya Youtube inayokaribia kutoa matangazo. kwa yeyote alitenayo anicheki tafadhari.
0 Reactions
5 Replies
900 Views
Nauza pikipiki yangu ya kutembelea, ipo vizuri sana. Price; 1.5m Location; Mwanza Buzuruga Karibu Pm
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wana jamvi, Nina shida na tofali za kuchoma na molamu niko Dar, Kigamboni. Naomba kwa anayejua mahali napoweza kuzipata aniambie....na bei zake.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri Karibuni sana ndugu zangu, ninatengeneza na kuuza dagaa wazuri, watamu, safi na salama kutoka ziwa victoria wajulikanao kama Nyama Nono. Nyama Nono ni dagaa...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Mradi mpya wa Viwanja vya Makazi Eneo la Vikawe,Km 6 kutoka Barabara kuu ya bagamoyo ●Magharibi mwa Bunju na Mabwe- Pande ●Vipo karibu na Barabara ya Mapinga-Maili Moja( inayojengwa kwa Lami sasa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naulizia duka linalouza vifaa vyote kwa ajili ya kutengeneza incubator Dar es Salaam. Anaye faham msaada taadhali hapa namaanisha fan, thermostart, digital thermometer na mashine ya kugeuza mayai...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama kicha cha habari kinavyosomeka mwenye nayo mbegu hiyo ya hass anielekeze nimachukye fasta.
0 Reactions
10 Replies
581 Views
Habari wanajamvi karibuni kwenye threat hii, Noble Real Estate ni wauzaji wa mashamba na viwanja waliojitika hasa katika jiji la Dar es Salaam na Pwani. Viwanja vyetu vimepimwa na vinatambulika...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Get fresh whole chicken/Cutups
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Habarini za asubuhi wakuu, naomba kuuliza wapi naweza pata hizi mizani vidogo digital scale na wanauza kwa Tsh. ngapi na je zinaweza kuwa na soko maeneo gani?
0 Reactions
0 Replies
701 Views
Habari wakuu nauza gari yangu nina emergency haina tatizo lolote wala haijawahi kurudiwa rangi. Bei 10.3 maelewano yapo kidogo Mwaka 2004 Millage-99288 Cc 1790 Colour- black Inapatikana Dar es...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Make: Toyota Model: ToyoAce Capacity: 1.25 Tons Type: Pick Up Gear: Manual, 5 Gears Mileage: 197,211Km Bei: Tshs 11,500,000 Mahali ilipo: Dar es Salaam, Mbezibeach Vibali vyote vimelipiwa, gari...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
VANGUARD PROMAX 7500EA GENERATOR Runtime 7hrs 05min 14Hp V-Twin Vanguard Engine Rated Power (COP) 6.0KW Equiv Max (KVA) 7.5KVA Rated Voltage 230 V- Rated Current 26A Rated Freg 50Hz/1.0 Mass /IP...
0 Reactions
0 Replies
646 Views
Rafiki yangu mpendwa, Kilio kikubwa cha watu kwa sasa ni pengo kati ya matajiri na masikini kuzidi kuwa kubwa. Matajiri wanazidi kuwa matajiri huku masikini wakizidi kuwa masikini. Ni hali...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Dear JF members, Greetings from WLC. We asked for an opportunity to come and provide you with education regarding the logistics hassles; mainly importation and exportation of goods or services...
1 Reactions
0 Replies
671 Views
Natafuta annoiting water ya TB Joshua wadau naomba mnisaidie kwa hili....[emoji848]
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari, Kama wewe msomaji wa uzi huu au mtu unayemfahamu ana kipaji chochote ambacho hakijajulikana vema na kumsaidia kimaisha tafadhali tuwasiliane kwa Whatsapp namba 0676434611. Kipaji...
1 Reactions
2 Replies
928 Views
Back
Top Bottom