Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Habari, kichwa cha habari kinahusika. Nahitaji kazi za typing Location: Huduma ni online. Yeyote mwenye documents zenye format tofauti na anahitaji iwe typed tuwasiliane kwaajili ya kazi. Naelewa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Naombeni connection kuhusu kupata material ya kutengeza bracelets Nipo Arusha Huku materials yanauzwa ghali sana, mwenye mawasiliano au maelekezo wapi naweza kupata nikiwa Dar es salaam...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa upande wangu namiliki vituo zaidi ya kimoja vyenye program mbalimbali za kutoa huduma za kielimu, ila bado napata changamoto nyingi katika uendeshaji , naomba na wewe ambaye uko katka sekta...
0 Reactions
4 Replies
973 Views
Nina aridhi yangu ukubwa wa 3/4 ya heka, iko mkoa wa pwani, kisarawe ,kijiji cha KAZIMZUMBWI ,kiwanja kipo karibu kabisa na KITUO CHA AFYA CHA KAZIMZUMBWI ni eneo zuri umeme upo , lami ipo...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakuu Habari za jioni. Nauza gari ya kazi kwa bei ya nafuu kabisa. Make: Eicher Mode: truck Model number: MC2B6 Year of manufacture: 2017 Engine Capacity: 3298 Fuel used: Diesel Seating capacity...
2 Reactions
60 Replies
8K Views
Watakufikia popote ulipo Tanzania /nje ya nchi Bei Kg 1 Tsh 5,500/= njoo INBOX kama unahitaji mzigo upo WA kutosha wkt wowote Get Fresh fish from lake Victory 5$ per Kg only for foreigners...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Kama kicha cha habari kivyosema, nimebuni mfumo mmoja wa kidigitali kwajili ya shule binafsi, natafuta mwalimu/walimu wa kushirikiana nao ili pige mchongo. Note; mwalimu razima awe anafanya kazi...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
hizi ni aina tofauti za simu aina ya OPPO unaweza angalia na kusafisha machoo.. Nimeangalia hadi zimenichanganya akili.
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Wakuu natamani kununua hii gari Cc 2460 2DW. Naomba mwenye uzoefu nazo anisaidie katika upande wa uimara. Je naweza kuchukua toyota Brevis badala yake? Karibuni Kacharimbe
0 Reactions
18 Replies
8K Views
Siku moja Baba alirudi nyumbani akiwa amechelewa kutoka kazini. Alikuwa amechoka huku akiwa amekasirika. Alipofika nyumbani alimkuta mwanae wa miaka mitano akimsubiri mlangoni. Mtoto alipomuona...
5 Reactions
3 Replies
1K Views
Wale wazee wa kulenga njoo uchukue gari hii TOYOTA AXIO CC 1490 Namba BEE Haijawahi kupata ajari Haina shida yoyote ya kiufundi, mwenye mali ana shida kubwa na kimfaacho mtu chake BEI Milion 4.5...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wakuu, ninao mkaa mzuri sio mabua gunia lenye ujazo mzuri,bei Kama utaubeba mwenyewe toka maeneo ya kigogo gunia ni elfu 65/kama utahitaji nikuletee ndani ya dar gharama ni elfu...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hatimaye Leo wakat naperuz humu jamvin nikakutana na huu utaratibu wakujiintrodyuz mim si mgen humu ingawaje ishu hii nimeijua Leo ni Muuza Viatu namaanisha km HV. Mungu ajaalie tuvumiliane...
0 Reactions
9 Replies
937 Views
Je, gari yako inatetemeka engine ikiwa ya baridi? Je, engine ya gari yako inamisi inapokuwa ya baridi? Je, gari yako ukiwasha inazima yenyewe mpaka uwashe mara kadhaa au uwashe na kupiga resi...
9 Reactions
58 Replies
13K Views
Wanabodi habari... Kichwa Cha habari chahusika Nina milion 2 tuu natafuta kiwanja dodoma eneo la msalato au veyula. Kiwe na ukubwa was nusu heka na kuendelea. Umbali kutoka barabara ya Dom...
3 Reactions
19 Replies
4K Views
Moja ya mambo muhimu katika ukuwaji wa biashara ni utunzaji makini wa kumbukumbu za biashara yako, kuanzia mauzo, matumizi, taarifa za stock uliyonayo, taarifa za madeni ya wateja, na repoti...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Karibuni Sana Chawging investment Kwa huduma za fumigation majumbani, maofisini, mashuleni, mashambani, kwene majengo, kwene masoko, mahotelini, mahospitali, kwene vyombo vya usafiri, kwene...
0 Reactions
3 Replies
895 Views
Nyumba inauzwa ipo Sumbawanga Izia mita 80 kutoka soko la sabasaba Ina vyumba vyumba vitatu kimoja ni master,sebule,dining room,jiko,store kwa nje ina chumba na sebule,vyoo vya nje,na vyumba vinne...
2 Reactions
28 Replies
6K Views
  • Closed
CC 1290 Year 2005 Price 9.8m (mazungumzo yapo) Call/watsap 0715140001
0 Reactions
3 Replies
881 Views
Kama umeona series kama ITAEWON CLASS, MASK, K2 na HEALER basi kwa mbaaali utakuwa ushaanza kuhisi uzi huu unahusu nini. Yes! Ni Soju kinywaji chenye alcohol level ya 16.8% mpaka 53. 8% na chupa...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom